Recent content by Butati

  1. B

    JamiiForums Tanzania KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Kwann mnamshtumu sna dr wkt tulio nje ya cdm tunaona ufisadi na uozo mwingi unaofanywa na baadhi ya viongozi wake ? Mbaya zaidi yale yote wanayoyapigia kelele kwa chama cha ccm wao kwa mlango wa nyuma na kuwahadaa walala hoi wa nchi hii wanayafanya hayohayo ! Mm kamwe cwezi kuwasupport cdm kwvle...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Lema na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Waacha Gumzo Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma

    Tatizo kubwa ni kwmb misukule ya cdm inakoleza chumvi sana kuliko hali halisi, aibu waliyoipata cdm huko kgm ni kubwa sna, wametumia mabilioni ya pesa walizohongwa na watakaokuja kuwauzia nchi lkn haijasaidia sana, dhambi walizofanya zitawatafuna mpaka mwisho wa dahali ! Halafu misukule yao...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Ni suala la kuwasiliana na huyo babu na kukaa chini nawe na kujua tufanye nini hyo mali itufikie mjini, wasiliana nami
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za kuipa CCM Ushindi wa Kishindo

    Chadema ni mabingwa wa kuzusha uongo, mara kibao wamezusha uongo ambao badae ulikuja kudhihirika kwmb c kweli, mnapenda kuropoka bila utafiti wa kina halafu mnadai hamtokubari kuibiwa kura eti damu itamwagika. mimi nitafurahi sana damu ikamwagika kwa kuchochewa na misukule ya cdm kwani nina hamu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Ina madini muhimu sna yanayotafutwa kwa udi na uvumba nchini ujerumani. Kuna kibabu kule lushoto anayo RUPIA lkn tatizo anahitaji kiac kdg amkabidhi mtu wake aje nae mjini kuiuza. kama una soko zuri wasiliana nami, ebutati@gmail.com
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika

    Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk
  7. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Ridhiwani ninani???

    Acheni kumsakama ridh1 km vile hastahili kuwekeza au kufanya biashara au jambo lolote la kimaendeleo.Km mna ushahidi wa ufisadi au ubadhirifu wowote alioufanya semeni lkn wote hapa ni wivu tu ndo unawasumbua, ridh1 ni mtu safi na hana kashfa yoyote ya ubadhirifu au ufisadi wowote wa mali ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Juma Nkamia: Uchaguzi wa Serikali ya Kijiji CCM yapigwa mweleka na CHADEMA

    Kwani ni kitu gani kipya ambacho kimefanyika kwny majimbo yanayoongozwa na cdm kwa muda mrefu?? Me nilifikiri majimbo ya cdm yatakuwa na maendeleo makubwa kuzidi yale ya ccm na pia hata ahadi zao wkt wa kampeni zingetimizwa km walivoahidi tofauti na ccm lkn mmmmh... Ni yaleyale tu hakuna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sera kuu ya CCM ni Dar kwanza, Hongera wamakonde wa Mtwara!!

    Hueleweki kwa ulichokiandika, lkn kdg nilichokipata nakushauri utembee kwa nchi nyingine za kiafrika. Dar ni km engine ya kiuchumi kwa tz ni km ilivo kwa nairobi au kampala au kigali,miji yote hyo haiwezi kuwa sawa na sehemu zingine za mikoani. Hata cdm wakishika madaraka kwa miaka 50 ijayo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania mkutano wa CHADEMA Kawe watu wanamiminika tu

    Siku matazamio yenu kwa cdm yatakapokuwa tofauti cjui mtaimba wimbo gani hicho chama. Me nachojua ktk siasa ni maslahi tu km alivowahi kusema aliekuwa pm wa UK Margareth Thatcher,kwmb ktk siasa hakuna rafiki bali ni maslahi tu ya hao viongozi na kundi lao la wachache wanaonuniwa...
Back
Top Bottom