politic critic
Member
- Jan 25, 2014
- 35
- 5
Kila mbinu chafu tunaikamata.Kamanda Bazil ntakuendea hewani nikupe mtonyo wanachotaka kufanya kwenye chaguzi za udiwani.Ni kutoka mahala muhimu
Chadema ni mabingwa wa kuzusha uongo, mara kibao wamezusha uongo ambao badae ulikuja kudhihirika kwmb c kweli, mnapenda kuropoka bila utafiti wa kina halafu mnadai hamtokubari kuibiwa kura eti damu itamwagika. mimi nitafurahi sana damu ikamwagika kwa kuchochewa na misukule ya cdm kwani nina hamu sana na kichwa cha kibabu padre silaha !