Ndg MTK nakuunga mkono 80%. A man has to decide what to do at a what time and for what purpose and all these for his own good! Sio kiherehere mmoja tu kwenye JF kutaka kumwamria mtu kama EL chakufanya bila hata aibu! Shame kwa mleta mada!
Wadau,
Hakuna jambo lilionikera Leo kama kukosekana kwa sauti wakati Rais wa Musumbiji akuhutubia Taifa kupita Bunge letu! Hii ni aibu kwa Taifa kubwa kama Tz!
Watu wengi huku kwetu Geita wanahamia Tigo Sijui huko kwingine. Mfano unajiunga kifurushi cha dakika 100 harafu voda wanakupa sharti la kuzitumia ndani ya saa 24, ikitokea sababu ya kukukeep busy usipige simu kwa siku hiyo ukataka kupiga kesho yake unaambiwa muda wa kifurushi chako umeisha...
Kuna tofauti ya kusifu na kuabudu. Alichokifanya Bukuku ni kusifia mtu kwa mazuri anayoyaona kwake jambo ambalo ni la kawaida. Angemwabudu na kusema yeye ndiye Mungu Hilo haswa ni dhambi! Mambo mengine ni wivu tu halafu huyo malisa kwamba amesema yeye sio Mungu.
Kuimba kwa Bahati Bukuku ni sehemu ya kumtukuza Mungu lakini pia ni kazi. Kama mtu kamuajili kumtungia wimbo wa kampeni na kumpa fedha ulitaka atunge wimbo wa kumtukana kwa vile tu unamchukia Lowasa? Kwa habari ya udini si kweli maana tumeshuhudia Wachungaji na mashekhe wakienda kwa Lowasa...
Well said! Sasa inatokana na nini kama si Viongozi wetu walioacha mapaja nje huku kila nchi ya wenzetu ikibaki kuondoa bikira. Wako wapi wasomi wa nchi hii walinusuru taifa na watz? Let's be serious please!
Huo ni uonevu uliokubuhu! Wanatakiwa wafukuze tume yote ya mabadiliko ya katiba wakianza na Warioba, waje ofisi ya pinda. Hivi Kumbe Ccm inataka katiba yake siyo iliyochangiwa maoni na wana nchi akiwemo Moyo? Na kama ni hivyo kwa nini kupoteza fedha nyingi kukusanya maoni? Kwa nini kukalisha BMK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.