Hapana kwani ukimwombea NJAA atakufa,ADUI mwombee MAISHA MAREFU ili aone MAFANIKIO yako................
Good thinking; Good food for thought!
Kama kosa lake ni kutetea serikali tatu ni vyema wakamfukuza na Mzee Warioba pia. CCM imebaki kuwa chama cha familia na marafiki zao...
Ukiangalia watu wasiopenda unafiki ndani ya CCM kwa sasa ni wazee... Mzee Moyo, Warioba, Butiku etc etc.... Vijana wa CCM wamebakiza unafiki, kupiga wazee( Makonda) na uchumia tumbo (buku saba wa JF).
Tutakapokuja kuzinduka watoto na wajukuu zetu lazima watucharaze bakora kwa kushindwa kukemea hawa mafisiCCM
Adui muombee njaa! Hassan Nassoro Moyo; jembe jipya UKAWA!
mkuu muungano si kitu kibaya, uendeshwaji wake ndio wa kuangaliaJamani hivi ni kwa nini hii nyumba ndogo zanzibar ina nguvu hivi?
Kwa nini tusibaki na mke mkubwa bara tunahangaika namna hii na hizi kokoto?
Kuna faida gani kuendelea na muungano usio na furaha?
Eti kisa biblia ba misahafu iliyoandikwa na wazungu mwaka 1964?