Recent content by buswelukigala

  1. B

    JamiiForums Tanzania CAG aomba radhi kwa umma na serikali: Je, hii radhi ni ya kweli? Je, inaashiria nini?

    Huenda naye huyo CAG anatumiwa na chadema kuleta uchochezi, huenda anatumwa na BARIC ili makinikia yaruhusiwe, au yawezekana huo nao ni WARAKA kama ule ulotolewa hivi majuzi unaowasha masikioni mwa Gabriel Pombe mkuu wa malaika wote
  2. B

    JamiiForums Tanzania Karibu mkurugenzi mkuu tume ya nguvu za atomiki Tanzania sehemu ya 4

    Bombadier Mama Poleni ninyi watumishi wa tume ya Atomic, nashauri kwamba kama mlivyo uleta uzi huu hapa, basi ni wakati sasa kuwahusisha takujulisha
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi wowote wa faith healing

    Sio swala la anaeombewa kuamini ndio apokee uponywaji,Yesu alimponya mwenye pepo kule pwani ya Wagerasi Mtu huyu alikua kichaa sio mahali kama alikua na imani na hata uponywaji hakuwa akiuhitaji, lakini Yesu alimuonea huruma na kuwaamuru pepo wamtoke mtu yule nae akawa mzima muda ule ule
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya wezi kuvamia nyumba

Back
Top Bottom