Kuna Makunguru nayaona humu yanatishia watu kwa kutegemea ID za Kujificha.
Ebu Tishieni mkiwa VERIFIED humu tujue kuwa nyie sio Kunguru kama Kunguru wengine.
Ajenge uwanja Nchi ambayo Raisi anawanyanyasa Waislam waziwazi.
Waislam kwa sasa Ni kama Watoto wa kambo. Kwenye teuzi 10 wanapata 1.
Bora ajenge misiskiti tu
May be hujui maana Ya House NEGRO.
Hawa Ni wale Walio Kwenye Mikuuundu ya Mabwana zao Kujipendekeza Waonekane Na Wao ni part ya Mabwana.
Utalamba Mikuundu sana Ukimaliza Watakufiira
Inaonekana unajiamini sana kwa kuwa umejificha kwenye Jina bandia Hapa.
Sema inafaa uelewe ukifahamu Hiki Kuna wenzio wanafahamu kile. Si ajabu Kuna mtu hapa hapa anakufahamu kwa majina yako yote matatu na anajua hadi unapolala
Acha kutishia watu Hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.