Ajali ya Waziri Kigwangalla iwe eye opener kwa spidi za misafara ya viongozi

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,169
th.jpg

FUNDISHO, tunalolipata katika ajali hii iliyompata mh. Kigwangala ni kubwa sana.
Magari haya Toyota Landcruiser V8, 8cylinder, iwe petrol au diesel zina mwendo hadi 260km/hr!
Hapa nchini sioni sehemu ambayo unaweza kwendesha gari bila bugudha hata 200km/hr.
Barabara zetu hazijasanifiwa kwa spidi zaidi ya 120~140km/hr.

Nikienda mikoani, hasa Dodoma, nimeona hayo magari yakipaa, literally!

Hata misafara ya viongozi wetu, tumeona huko mikoani spidi ya magari ni ya kutisha sana.
Sawa, polisi haiisumbui hii misafara na wakati mwingine wanawasafishia njia, lakini kuna watumiaji wa barabara kama wanyama (au hata watoto wadogo vijijini) ambao hawaelewi cha polisi wala msafara.

Vyombo vyetu vya usalama viamke sasa na hii threat ya viongozi kuweza kujimaliza wenyewe kwa mwendo kasi usio wa lazima.
 
Magari ya serikali huwa yanaenda kwa speed kubwa isiyo salama,sijui torch inakuwaga wap ukiambiwa sheria sio msumeno ndo uache kubisha sasa
 
View attachment 827533
FUNDISHO, tunalolipata katika ajali hii iliyompata mh. Kigwangala ni kubwa sana.
Magari haya Toyota Landcruiser V8, 8cylinder, iwe petrol au diesel zina mwendo hadi 260km/hr!
Hapa nchini sioni sehemu ambayo unaweza kwendesha gari bila bugudha hata 200km/hr.
Barabara zetu hazijasanifiwa kwa spidi zaidi ya 120~140km/hr.

Nikienda mikoani, hasa Dodoma, nimeona hayo magari yakipaa, literally!

Hata misafara ya viongozi wetu, tumeona huko mikoani spidi ya magari ni ya kutisha sana.
Sawa, polisi haiisumbui hii misafara na wakati mwingine wanawasafishia njia, lakini kuna watumiaji wa barabara kama wanyama (au hata watoto wadogo vijijini) ambao hawaelewi cha polisi wala msafara.

Vyombo vyetu vya usalama viamke sasa na hii threat ya viongozi kuweza kujimaliza wenyewe kwa mwendo kasi usio wa lazima.
Kweli speed hizo si za kawaida, manake utsdhani kuna mashindano ya akina shekirand enzi hizo za mbaura.
 
The Limousine (Limo), the official car of the US President's top/max. speed is 60mph (approx. 96kph)! Pamoja na miundombinu bora kabisa duniani iliyoko Marekani, pamoja wataalamu bora kabisa wa kila fani Marekani ilionao; mabingwa wa usalama wa Rais waliamua speed ya mwisho ya gari la POTUS iwe hiyo! Sio kwamba ni wajinga, no! Wangetaka the Limo lingeweza hata "kupaa" na ingewezekana lakini wana sababu zao!

Sasa huku kwetu ambapo tuna-share miundombinu na kila aina ya "takataka"; punda humo humo, digi digi humo humo, vibwengo, n.k. Barabara ambazo suluhisho la ajali ni kuweka "matuta" kila baada ya mita kadhaa badala ya kuweka madaraja ama ya chini au ya juu ya waenda kwa miguu; suluhisho ni askari kujificha maporini na "kuwashtukiza" madereva; barabara ambazo likitokea "tobo" katikati huchukua miaka kutengenezwa pengine hadi msimu wa kampeni utakaofuata, barabara ambazo mkandarasi akikabidhi kazi ghafla zinageuka matuta utafikiri shamba la viazi sioni namna gani unaweza kufikisha hata 100kph na ukawa na uhakika wa usalama wako!

USHAURI: Kwa kuwa magari ya serikali ni special oder toka huko yanakotoka sioni ugumu wa kuwaomba yawe na max. speed of 80kph. Itasaidia sio tu kuokoa maisha ya wahusika lakini pia kuokoa gharama za magari yenyewe maana mzigo kwa walipa kodi sio haba! Yaani Bunge litunge sheria ya sifa za magari ya viongozi #1 ikiwa max. speed yaani "The Leaders' Vehicle Specification Act 2018/19" ambayo naamini kwa hali iliyopo mh ataisani fasta.
 
Kwa Haya mambwa ya sasa acha yafe tu.

Waweke hata spidi 500/kph
 
Nakubaliana na observation yako mkuu.
Hayo ma V8 ni flying coffins kama yakitumika vibaya.
Mimi naendesha moja(ni langu bwashee), ni gari hatari kama mtu huna self discipline.
Mawaziri, viongozi wengi bado vijana na wanapenda kujipima kwa kiki na self adrenaline.
Hizo gari ukikanyaga accelerator hata baada ya 120km/hr sensor zinazibua valve kuongeza mafuta, na gari inapaa utafikiri ndo intaka kutake off.
Mbaya zaidi engine power/vehicle weight ratio ni kubwa mno, na hivyo uzito wa gari kuwa mdogo sana kulingana na power kubwa ya engine ya gari gari.

Watu wa usalama kwa ujumla wake walitupie jicho tatizo hilo, amasivyo viongozi wataendelea kupata maafa yasiyo ya lazima.
 
Tatizo lingine ni hawa viongozi kuzunguka mikoani kila siku ili waonekane na mkubwa wanachapa kazi, ukiangalia kama huyu aliepata ajali (Mungu amponye na kumpa ahueni) amezurula almost nchi nzima ndani ya muda mfupi kama yeye mwenyewe alivyokua anatuambia kupitia social media "pori kwa pori" nina wasi wasi kama dreva hua anapata muda wa kupumzika, unakuta mtu kaunganisha wiki nzima yuko barabarani, mwenyewe yuko mmoja kwa nini asichoke na kudondosha gari, kama kutoka na basi dar mpaka mwanza madreva wanabadilishana huyu anaepika route ya Dar ,Dodoma, Arusha nenda rudi bila kupumzika lazima tu atadondosha gari.
 
Haya wamesikia na watafanyia kazi maana selikari yetu ni sikivu sana
 
Nakubaliana na observation yako mkuu.
Hayo ma V8 ni flying coffins kama yakitumika vibaya.
Mimi naendesha moja(ni langu bwashee), ni gari hatari kama mtu huna self discipline.
Mawaziri, viongozi wengi bado vijana na wanapenda kujipima kwa kiki na self adrenaline.
Hizo gari ukikanyaga accelerator hata baada ya 120km/hr sensor zinazibua valve kuongeza mafuta, na gari inapaa utafikiri ndo intaka kutake off.
Mbaya zaidi engine power/vehicle weight ratio ni kubwa mno, na hivyo uzito wa gari kuwa mdogo sana kulingana na uzito wa gari.

Watu wa usalama kwa ujumla wake walitupie jicho tatizo hilo, amasivyo viongozi wataendelea kupata maafa yasiyo ya lazima.
Mbaya zaidi ukiwa ndani huwezi kuhisi speed yake kamili..na baadhi ya watu huwa hawaheshimu speedometer inasoma Kph kiasi gani, kuna magari kibao(sio ya Govt)zimekufa na watu wanakanyaga mafuta..
 
Madereva wa wizara na viongozi wengine wanatakiwa wapewe mafunzo maalum ya mwendo kasi..ili kuokoa muda wa viongozi kukaa barabarani,yako mafunzo maalum ya namna ya kulidhibiti gari ukiwa katika mwendo mkali.

Mafunzo mengine ni namna ya kukwepa ambush za wahalifu na majambazi.
 
Lazima tutoke katika fkra za kufikiri kuwa kwenda mahali , hata iwe mbali kivipi suluhisho ake ni kwenda mwendo kasi na mBio za sakafuni na zisizo salama.
Ndege za serikali, helicopter za serikali ni za kazi gani?
 
Mh umeandika kichina au?
Kama shida yako ni kichina nimekutafsiri thread, soma hapo chini:

现在由我们来决定我们在哪里拥有基础设施和各种“垃圾”;驴子在那里,消化洞,篮子,例如道路交通事故每隔几米设置一次“颠簸”,而不是设置低或上桥;解决方案是士兵躲在讲坛上并“吓唬”司机;出现这种情况的道路“子弹头”中心可能需要做,直到秋季活动将遵循的道路该承包商授予工作突然原来你认为土豆领域颠簸我看不出你如何能传达给100kph,但仍然可以保证您的安全的岁月!

注意:由于政府车是特殊的或从他们来自哪里,我没有看到要求他们有最大的困难。速度为80kph。这将不仅有助于拯救人物的生活又节约了车辆本身的成本,因为负担,纳税人是不小!即议会车标题#1,最大的litunge法律特征。速度是“领导规范车辆法十九分
 
halafu abiria wa mabasi tunalazwa standi za mabasi usiku kwa mabasi kufika usiku mono na kushindwa kwenda makwetu. basi toka Dar kwenda Songea badala ya kufika saa mbili kama lingetembea walau speed 100 kwa saa na kuruhusiwa kuanza safari saa 11 alfajiri, tunatembezwa a mazimum of 80 km/h na kila penye kibanda kuna speed limit ya 50 km/h, halafu ukaguzi kila mji.mizani zote mabasi yanapima na kupoteza muda mwingi ( mfano basi linapima mizani mbele ya mlandizi, halafu tena karibia morogoro, halafu mikumi, kisha mikumi, halafu iringa, makambako, halafu songea na kila mizani basi linatumia si chinii ya dakika 15) nchi hii tunaenda wapi jamani?Mbona mambo haya hakuna nchi nyingine duaniani?
 
Hiyo Ajali ya kutengeneza alikuwa anawahi kwa mchepuko
Wanoko wanadai alishahis na kushtuka Sizonje atamtumbua ama kimuamisha wizara ya kilimo ambapo hamna maujiko. Akachonga faster na Sangoma wake ikabid mwanajamv mwenzetu atolewe kafara.

Huenda wambea wanasema kwel si uliona Sizonje alivyoguswa hadi akaenda airport. Jamaa kapona kutumbuliwa kwenye iyo wizara.

Ila sisi wabongo kwa umbea
 
Back
Top Bottom