Recent content by BussyB

  1. B

    JamiiForums Tanzania TCRA wana magical button ya kuswitch off simu zote feki au tunapeana presha tu?

    Inawezekana kuzima HANDSET PASIPO kumshirikisha MANUFACTURER, Kinachohitajika ni kujua utambulisho wa kifaa yaani IMEI, taarifa hizo zinapatikana kwa service provider ( VODACOM, AIRTEL, TIGO, etc) so kinachofanyika ni ku disiable IMEI zote ambazo haziko registered kama ORIGINAL BRAND! TCRA wana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

    Naomba ushauri wako kulingana na issue yangu Je katika Situation hii kama wafanyakazi tunaweza kudai Fidia ya UNFAIR TERMINATION OF CONTRACT? Nimeuliza swali hili kutokana sintofahamu iliyopo juu ya Hatma ya wafanyakazi kwa MNUNUZI mpya wa SHARES!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

    Hapo umenichanganya kidogo kwenye UKOKOTOAJI WA HAYO MALIPO! Naomba ufafanuzi zaidi katika kipengele hicho
  4. B

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

    Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

    Salaam kwa Wadau wote! Nahitaji msaada wenu kwa wataalamu wa Sheria za Ajira! Mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi kwa mkataba wa KUDUMU( PERMANENT CONTRACT) tangu mwaka 2013, mwaka jana mwishoni tulipewa taarifa kuwa KAMPUNI imepata mnunuzi ambaye amenunua SHARES zote kwa 100% kwa hiyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwashtaki Vodacom

    Njia iliyotumika kukutapeli ni hii, yawezekana kuna siku ulimpatia mteja handset yako unayotumia kutuma pesa akaingiza codes fulani ambazo kila unapofanya muhamala taarifa anazipata, au anaweza kusave number yake kwa jina la M-PESA kwenye simu yako, so kilichotokea baada ya kujua kiasi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la mwanamke kuingia bleed mara mbili kwa mwezi

    Asante sana Mkuu kwa ushauri wako wa kitaalamu, nimejaribu kumuuliza kuhusu kutumia njia za uzazi wa mpango, ameniambia amewahi kutumia vidonge kwa kipindi cha miezi mitatu, vikamletea tatizo la kupitiliza siku, kutokana na maelezo yako nadhani ni sababu mojawapo. Pia aliwahi kwenda kupima...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la mwanamke kuingia bleed mara mbili kwa mwezi

    Hello wadau nahitaji msaada wa kitaalamu zaidi kuhusu tatizo la Mwanamke kuingia Bleed mara 2 kwa mwezi, Nina mchumba ambaye ana tatizo hilo, wakati mwingine humtokea na kuingia mara 2 na wakati mwingine inakuwa mzunguko wa kawaida wa siku 30 Nahitaji kujua sababu ya tatizo hili, tiba yake na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Imetokea leo, nimepita hapo mida ya saa 6 kasoro, mimi nimeuliza waliopo kwenye tukio wamesema imeua mmoja! Mimi naelekea Bukoba mida hii na private Car
  10. B

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Nadhani ilimshinda kona ikabidi alipeleke pembeni upande wa kushoto!
  11. B

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Nimepita eneo la tukio, mtu mmoja ndio amefariki papo hapo wengine majeruhi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

    Unategemea upate ushauri wa maana kwa jinsi ulivyoandika hivyo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania huyu kijana anajiamini nini kuapa kuwa Endapo CCM 2015 kama itachukua nchi yuko tayari kwa.....

    Yawezekana ndio mchezo wake, anatafuta sababu Tu!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Umekatika nchi nzima, machines zimefail, watarudisha kwa awamu kufuatana na priorities za mikoa!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jicho letu ndani ya habari leo

    Mimi huwa ananikera sana mpaka natamani kubadilisha station, pia hana mtiririko mzuri katika kuchangia anadakia hata sehemu ambayo hajaruhusiwa kuongea
Back
Top Bottom