Karibu tufanye hiyo kazi, kwani ni kazi nzuri na tutaifanya kwa uhakika na badae tunaweza kufungua fursa kwa kuwatumia mazao mengine kama spices za hiriki, mdalasini, pilipili manga, karafuu n.k kwani pia ni vitu waarabu wanatumia sana ikizingatiwa sasa ni msimu wa mavuno kwa mazao mengi...
Pia nipo tayari kufanya hiyo kazi ya kilimo cha ufuta ndugu, hali yangu kiuchumi ni ngumu sana, nina hali kubwa ya kupambana lakini mtaji umekua tatizo sana kwangu.
Mchezo utarudiwa, ila kama mchezo usiporudiwa ndani ya saa 48, utarudishiwa pesa yako na kama uliweka timu zaidi ya moja basi watapunguza odds za mchezo ulioahirishwa na kulipwa pesa za odds kwa timu ulizoshinda.
Kwanini usiweze peleka propaganda kwenye misiba?
Unatakiwa ujue mtaji wa mwanasiasa yeyote ni watu, haijalishi hao watu wamejumuika kwa ajili ya sherehe, msiba, kanisani, msikitini n.k
Chama chochote kinachotaka ushawishi lazima kiwe na kitengo cha propaganda kinachofanya kazi vizuri.
Nchi...
Ushakua chawa wa CCM?
Huyo mtu nikimuona kwakweli najisikia hovyo sana..!!!
Ingewezekana ku block picha zake kuonekana katika sim yangu kwa namna zote, hakika ningefanya hivyo kwa gharama yeyote.
Hiyo ndio maana yake, usisubiri kupata huruma au msaada unapopambana, utaishia kulalamika kama unavyofanya.
Dunia hii haina usawa wala huruma.
Kaza msuli.
Watanzania jifunzeni kwamba siasa ni game ya propaganda.
Hautakiwi kuwa na chuki binafsi kwenye siasa sababu siasa mtaji wake ni watu, propaganda n.k ili mradi kunapofanyika hizo propaganda kusiwepo uvunjifu wa amani, sheria n.k
Kama CCM wanafanya propaganda kwenye misiba, Chadema fanyeni...
Matukio ya kutekwa au kuteka (kidnaped or kidnaping) ni jambo linalohusisha kuingilia uhuru wa mtu kwa kumkamata pasipo kufata utaratibu wa kisheria na haki za kibinadamu katika nchi husika na kisha kwenda kumuweka au kumficha katika sehemu isiyo rasmi kisheria mfano nyumba za mateso, nyumba...
Wewe ni hovyo tu,
Kama mtu unashindwa kutofautisha mada inayohusu siasa na mada inayohusu ufundi, utaweza kweli kujenga hoja kwenye siasa zinazohitaji uelewa mkubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.