Halafu hao waliopata hizo alama ni weupe tu...Nina shemeji yangu alikimbia shule PCB baada ya kutoka na Saba olevel...zamani mtu anayepiga Saba olevel na tatu advance wanakuwa smart kweli kweli..sio sasa..ni almshaka..labda kwa government.... lakini private wengi ni almshakaaa Sanaa
Mafundi wengi wezi...Mimi nimempa advance ili anichongee milango ila naona sasa ni utata mtupu...niliona anazidi kudai hela tu.. mara grinder mbovu mara sijui nini...nikamwambia inamaana unategeamea pesa yangu pekee kuendesha ofisi yako!? Hakuna kazi za wengine hapo....yaani mpaka sasa hivi...
Kaka achana nae. Mimi nilishatapeliwa mara mbili lakini niliamua kuachana na masuala ya urafiki...niliamua kuendelea na maisha yangu. Cha ajabu hao rafiki zangu walianza kujiongelesha kwa watu. Kuwa jamaa anaroho ngumu sana. Ilifikia hatua kuna mmoja alimpigia wife kuwa dah jamaa naomba...
Nilisikia kuna jamaa anaitwa Sam yupo Misungwi pale pale mjini stand...ukimuulizia mtu yeyote Sam jamaa wa dawa za asili anakupeleka...kuna mtoto wa shemeji yangu huyo shemeji yangu aliniambia anatibiwa pale na jamaa nasikia ndio kazi zake...amerithi kutoka kwa baba yake...inamaana alianza tangu...
Watu wengi vilaza sana...kazi yao kuunga mkono vioja....jeshi linapaswa kuwa home of major inventions....wao wanapaswa kufukuzia ukuaji wa technolojia dunia na kulinda rasilimali za nchi.... sio kupekua wananchi kutafuta sare...hilo mbona simple tu..wawaachie polisi tu...
Umesema ukweli...yaani Mimi Huwa nashangaa sana...yaani mtu analetewa NIDA iko hovyo...anatulia tu... leaving certificate iko hovyo anakaa tu..analetewa taarifa za necta ili apitie na kurebisha bado anazingua...birth certificate inashida bado mtu katiulia...siku anakwama anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.