Mkuu niliwahi kula tunda kimasihara,, kuna kipindi nilienda Tp nachingwea nyumba niliyofikia kulikuwa mdada jirani ,, dada yule tulizoena tukapeana namba za simu tukawa tunachati sana,, kuna siku akaniite nyumbn kwenda kula,, akaweka chakula mezani baada ya kunawa nichota chakula na kijiko...