ktk hali hii ya kisiasa hapa nchi tunabidi tufikilie mara mbili mbili..kwa kweli cmm wamebolonga kuendesha nchi..na vyama pinzani haviongei sera za umuhimu kwanza..wanabaki kuzungumzia vya kututeka akili kwanza..najua kila mtu anapenda utajiri na maisha bora je kwa hali halisi itawezekana swala...
Dats gud..biashara km hiyo ukianza unabidi kwanza ufahamu gunia moja linatoa ndoo ngapi za viazi,nakila ndoo hutoa sahani ngapi..itakuwa rahisi kujua faida yako na hasara,kwani hata utajua kilo moja ya nyama inatoa mishikaki mingapi,au faida ya kila trei ya mayai..nisimple biznes to...
Nachoweza sema mambo hayo hayafai kitamaduni coz tumezungukwa na jamii na watu walika tofauti,je watoto zetu wanajifunza nn wakikuona una kiss public,da end of da day wataenda kwenye swala la kuvuana chupi wakiwa bado umri mdogo,je ungependa kuona mwanao wakike akifanyiwa maswala ya ajabu akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.