bora uamini yupo kuliko usiamini alafu ukamkuta.. unajiamini nini kui-challenge bible ambayo hata ma professors wanakubali yupo haupo sereous na hiki ni kithibitisho tosha plz KAOMBE SARA YA TOBA
Kwa kizazi hiki hilo tatzo co dogo
kwanza wanafunzi wenyewe :mda mwingne wanawatega walimu maksudi na mwalimu asipo take any action wanamdharau ooo domo zege jogoo hawiki vitu kama hivo vinawsumiza walimu na kuwafany wa-take wrong decision ili kuwaonyesha kuwa wanaweza
pili walimu nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.