Recent content by bush baby

  1. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada atakuwa anastahili tuzo la uvumilivu

    Ndiyo uamuzi nilyochukua mimi nawapenda sana wanangu. Nimeamua kulea wanangu, roho zangu, furaha yangu.hayo mengine nimemuachia mwenyewe. Nataka wanangu wapate upendo na malezi yetu sote.muda mwingine mtu unaumia unajiona huna thamani lakini unajitahid kupiga moyo konde unapiga kazi...
  2. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada atakuwa anastahili tuzo la uvumilivu

    Story ya binamu yako imenikumbusha msiba tumezika miez michache ilopita.mbunge mmoja wa rangi ya kijani wa mkoa fulan alikuwa na mchepuko mmoja matata sana ulimfanya mpaka akamuona mkewe hafai. Siku ya kwenda mjengoni akamuacha mkewe akabeba mchepuko. Bint akarud kwao huku mumewe yupo bize na...
  3. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada atakuwa anastahili tuzo la uvumilivu

    Napenda sana busara zako[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  4. bush baby

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tuwe Tunaangalia Na Maswali Ya kuwauliza Hawa Wanawake

    Safi sana akizinduka una mwambia wakati umezimia kuna mwenzio kapiga cha fasta kaondoka
  5. bush baby

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, huwezi kuvaa hivi kisha uniambie una heshima

    Bora nipitwe na wakati kuliko kukaa minofu nje [emoji4] [emoji4] [emoji4]
  6. bush baby

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya kidogo ya Diamond yaweka record Uk/England

    Wanamwita simba
  7. bush baby

    JamiiForums Tanzania Alikiba kuisimamisha dunia August 25

    Unadhani wanawivu xana #kidogo tu
  8. bush baby

    JamiiForums Tanzania Baba mchungaji na Mama mchungaji

    Maa shaa Allah Kupendwa raha na kurudisha upendo kwa akupendaye ni raha zaid
  9. bush baby

    JamiiForums Tanzania Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

    Kanguo kazuri hatar
  10. bush baby

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nywele!!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sidumu kwenye mahusiano, tatizo langu ni lipi?

    Mmh hata sitii neno
  12. bush baby

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

    Kaandika mwenyewe huyo
  13. bush baby

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

    Mmh mwanaume wa hivi [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  14. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My girlfriend she is not proud to be with me

    My husband is not proud wit me
  15. bush baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Pole mpendwa Kuwa karibu na mola wako,usikate tamaa pia mwenyezi mungu akujaalie umpate mwenza bora Siyo bora mwenza.
Back
Top Bottom