Sidumu kwenye mahusiano, tatizo langu ni lipi?

Oh! Mwanzoni unahudumiwa hata kabla hujasema! Huenda mwanzoni hua unakua tegemezi sana mwishowe mtu anachoka, ila sasa hivi kazi tuu hata ya hospitalin hakuna, cha msingi jiongeze, fanya mambo ya msingi, ila jitafakari upya kwanini wanakuchoka mapema? Huenda una mvuto na wanakutamani na kukupenda ila kuna vitu huenda wanavichunguza kwako nakuona hakuna future ndo mana wanakupotezea, angalia mwenendo wako na tabia katika mahusiano, vitu kama wivu, maongezi, hasira, sauti za kupayuka na kumcontrol mwanaume, ukweli na uwazi, kujituma kunako 6*6 na mengine.
 
habari za mchana

mwenzenu nina tatizo yaani siwezi kudumu kwenye mahusiano. wanaomipenda mimi siwapendi lakini nikiwapenda baada ya muda wananipotezea.

nilikuwa na mwanaume mwanajeshi mwanzoni akawa ananipigia simu sana. hospitali akawa ananipeleka yeye mwenyewe. baada ya muda nikawa nikiugua anadai hana pesa mara ooh! kasafiri kikazi na muda huo hajaniaga. ikawa kwa mwez naweza kupigiwa mara mbili au tatu mapenzi yakaishi hewani. nikapiga moyo konde

nikapata mwingine ni mhasibu wa shule fulani ya sekondari. mwanzoni naye mapenzi yakawa motomoto. na ahadi kem kem. nikawa nahudumiwa hata kabla sijasema, simu kila wakati baadae naye akaacha kunitafuta. nikawa namtafta nisipomtafta hta zipite wiki kadhaa yeye yuko kimya tu. na whatssap yuko online, facebook yuko active.

nimeshajitahidi kumweleza zaidi ya mara tatu anaomba msamaha lakini hajirekebishi. nimejitahidi kumweleza nmana ninavyompenda lakini wapi. mwenzangu hana habari.

ukweli ni kwamba nampenda mno sijui tatizo langu likowapi. sichepuki wala simpigi mizinga. amekuwa mzito kujibu meseji zangu nikituma leo zinaweza kujibiwa baada ya siku tatu au nne.

msinichoke tafadhali, mnisaidie wala msinitukane. ukijisikia kutukana uzi huu haukuhusu.

nawasilisha
Unahitaji kuombewa, karibu Kanisa la Dini Zote upokee muujiza wako. Kama uko serious ni-PM
 
nawasilisha[/QUOT

wewe shida yako ni moja huna mapenzi unatafuta wa kukuhudumia na inaelekea una virungu mala saluni mala sijui nn wanaume wa siku hizi hawataki kuhonga aisee labda umpate wa hivyo anayejali thamani yako...........
mimi sijawahi hudumiwa na mwanaume nahitaji kukunwa na kulindwa hahahaha bhaaaaas akipenda anihudumie mwenyewe i mean ajue wajibu wake aone aibu mwenyewe lakini swala la kumfanya atm hapana kabisa siwezi
 
" ukijisikia kutukana uzi huu haukuhusu."

dah, masharti yamenishinda, mi kuongea bila mtusi siwezi, inawezekana pia nao masharti yamewashinda punguza kidogo sasa salam tu wiki hutoi; mbunye itakuwa wiki ngapi?
 
Pole mdogo/mkubwa wangu. Huenda wewe ni binti mzuri ambaye mwanamme akikuona anategemea kuwa una mazuri ya sirini, kumbe sirini ukawa tofauti kabisa, kwahyo akishakupata anaona hapati alichotegemea na kuamua kukimbia. Nakushauri uombe toba ya uzinzi huo kwa Bwana ili akusamehe na kukupa mme mwema atakayejifunua na kuja njia yako muoane UPUMZIKE HIZO SHIDA.
 
  • Thanks
Reactions: ora
Kila mmoja aliyeachwa alikuwa na mfanyakazi mbona cjasikia mtu alikuwa na mpenzi mjenzi au fundi seremala au fundi mchundo au mfanyabiashara ndogondogo hebu jaribuni na huku kwetu walalahoi muone kama hamtafurahia maisha yasiyo na stress za kutendwa
 
Kuna wanaume ukiwaonyesha upo so in love na unamuhitaji sana lazima wakutese, my dear hebu achana na hizo shits...

Achana naye na utulie, acha kukimbilia kweny mahusiano kisa tu unaona wengine wapo! Mwanaume atakuja tu kwa muda wake na atakupenda
axante mkuu
 
Oh! Mwanzoni unahudumiwa hata kabla hujasema! Huenda mwanzoni hua unakua tegemezi sana mwishowe mtu anachoka, ila sasa hivi kazi tuu hata ya hospitalin hakuna, cha msingi jiongeze, fanya mambo ya msingi, ila jitafakari upya kwanini wanakuchoka mapema? Huenda una mvuto na wanakutamani na kukupenda ila kuna vitu huenda wanavichunguza kwako nakuona hakuna future ndo mana wanakupotezea, angalia mwenendo wako na tabia katika mahusiano, vitu kama wivu, maongezi, hasira, sauti za kupayuka na kumcontrol mwanaume, ukweli na uwazi, kujituma kunako 6*6 na mengine.
axante mkuu
 
Kila mmoja aliyeachwa alikuwa na mfanyakazi mbona cjasikia mtu alikuwa na mpenzi mjenzi au fundi seremala au fundi mchundo au mfanyabiashara ndogondogo hebu jaribuni na huku kwetu walalahoi muone kama hamtafurahia maisha yasiyo na stress za kutendwa
Hao wote ulowataja mbona ni wafanyakazi tu?
 
habari za mchana

mwenzenu nina tatizo yaani siwezi kudumu kwenye mahusiano. wanaomipenda mimi siwapendi lakini nikiwapenda baada ya muda wananipotezea.

nilikuwa na mwanaume mwanajeshi mwanzoni akawa ananipigia simu sana. hospitali akawa ananipeleka yeye mwenyewe. baada ya muda nikawa nikiugua anadai hana pesa mara ooh! kasafiri kikazi na muda huo hajaniaga. ikawa kwa mwez naweza kupigiwa mara mbili au tatu mapenzi yakaishi hewani. nikapiga moyo konde

nikapata mwingine ni mhasibu wa shule fulani ya sekondari. mwanzoni naye mapenzi yakawa motomoto. na ahadi kem kem. nikawa nahudumiwa hata kabla sijasema, simu kila wakati baadae naye akaacha kunitafuta. nikawa namtafta nisipomtafta hta zipite wiki kadhaa yeye yuko kimya tu. na whatssap yuko online, facebook yuko active.

nimeshajitahidi kumweleza zaidi ya mara tatu anaomba msamaha lakini hajirekebishi. nimejitahidi kumweleza nmana ninavyompenda lakini wapi. mwenzangu hana habari.

ukweli ni kwamba nampenda mno sijui tatizo langu likowapi. sichepuki wala simpigi mizinga. amekuwa mzito kujibu meseji zangu nikituma leo zinaweza kujibiwa baada ya siku tatu au nne.

msinichoke tafadhali, mnisaidie wala msinitukane. ukijisikia kutukana uzi huu haukuhusu.

nawasilisha
Vipi kitandani upo vizuri? Ulishawahi kutizama muonekano wa hao jamaa baada ya kumaliza tendo? Je shemeji huwa na hamu ya kuendelea baada ya kumaliza cha kwanza?
 
Back
Top Bottom