Mada hii inafanana na tabia mbaya wanayofanyiwa wanafunzi wakitaka kuingia kwenye daladala pengine husukumwa wakati huo sisi kama raia na wazazi wa watoto hao tunaona na hatukemei. Hatuwezi au tunafanya nakusudi, leo hii unalalamikia tabia ya makonda kuwashika mabega, kutoa lugha chafu, n.k...
Jamani nawaasa sisi tulio wazi, tuonapo mgonjwa wa aina yoyote tunayeishi karibu naye iwe chouni au nyumbani tuweni karibu nao kwa mgonjwa anapokuwa mpweke anawaza mpaka anafikia kikomo. Ni muda mzuri wa kuendelea kumpa ushauri na kumfariji, na inaondoa kufikiria kuwa hana thamani duniani. Wengi...
Kwa kweli ni shida, utafiti huu ni halisi unasadifu yaliyomo nchini Tanzania mfano mzuri Health services pale Mwanza siku hizi Bugando sio ile ya zamani, mgonjwa kulazwa kwa siku 150,000/= taslimu kama hauna unakufa. Hapa siwezi kusema kwa mridhisha mtawala kuwa nina furaha. Ni huzuni mtindo mmoja.
Hivi jamani kuna vibali vya kusafirisha kobe, vinyonga na nyara zingine za serikali? Huu ni ufisadi mkubwa. Tena vibali halali. Ina maana ofisi zinazohusiana na vitu hivyo ameziweka mfukoni jama huyo. Na kama ni kuhisiwa na kukamatwa angebainika kwenye geti la kwanza tu, hapa hakuna uadilifu...
Kwa upande wa mikopo masharti ni magumu, mkopaji anahitaji fedha aendelezee biashara yake, anambiwa awe na cash deposite kwanza. sijaipenda. Badilisheni.
wanajamii samahi hasa wanaonunua gari wakati wanaishi nyumba za kupanga. kwao wanaangalia starehe zao. Niwashauri tu kwamba kabla hujanunua gari piga matumizi ya uendeshaji wake. Kikubwa ni kuangalia matumizi ya mkopo huo je ni ya anasa yatakayopelekea kujuta mbele ya safari?
Hatimaye baada ya miaka mingi kupita, kanisa la waadventista wasabato Newala limebarikiwa kwa kutenga makanisa mawili kwa wakati mmoja ambayo ni Mnyambe sda church na Namalenga sda church. Makanisa hayo yametengwa tarehe 24/25-05-2015. Mungu abariki Mtaa wa Newala uzidi kupanua wigo wa injili. Amina
Hatimaye baada ya miaka mingi kupita, kanisa la waadventista wasabato Newala limebarikiwa kwa kutenga makanisa mawili kwa wakati mmoja ambayo ni Mnyambe sda church na Namalenga sda church. Makanisa hayo yametengwa tarehe 24/25-05-2015. Mungu abariki Mtaa wa Newala uzidi kupanua wigo wa injili. Amina
wengine wanaona upuuzi kuanza na nyumba, kwao ni vyema wawe na gari. lkn suala zuri ni hili ni vyema kuanza na nyumba. Jiulize je wazee vijijini walianza kununua baiskeli au kujenga? Chukua hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.