Sherehe za kutenga makanisa Mtaa wa Newala SDA

Buseleke

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Hatimaye baada ya miaka mingi kupita, kanisa la waadventista wasabato Newala limebarikiwa kwa kutenga makanisa mawili kwa wakati mmoja ambayo ni Mnyambe sda church na Namalenga sda church. Makanisa hayo yametengwa tarehe 24/25-05-2015. Mungu abariki Mtaa wa Newala uzidi kupanua wigo wa injili. Amina
 
Nahisi umekosea mkuu, sio wigo wa injili bali ni wigo wa 'TORATI'
 
Ungetumia neno kuongeza mitaa mtumishi siunajua wote "sio wa zizi hili" ingawa nao "wataitwa" Yoh. 10:16
 
Watumishi wa Mungu asanteni kwa kufanya marekebisho madogo madogo. Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom