Recent content by Busan

  1. Busan

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hiyo Re meridian ni nini kama sio ukumbi😂😂😂
  2. Busan

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ukubwa kivip. Hiyo Dom eneo Lake 2000km² na zaid wamechukua hadi mashamba hukooo ya kilimo Mwanza 400km² na Viwanda vingi vinahamishiwa nje ya Jiji. Ukipigwa kubali sio kuhamisha magoli. Kwanza kwa hilo eneo la 2000km² mlipaswa kulingana na Dar kwa mapato
  3. Busan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sijakebehi najaribu kuonyesha jinsi corrupt leaders wanakua baada ya kustaafu
  4. Busan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Shetani akizeeka
  5. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Serikali yenu haijengi Sewage system na wakat wanaijua geography ya Mwanza what do you expect?. Kama kipindupindu kimetokea ni wakati wa serikali yako kujengwa sewage system
  6. Busan

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Serikali ndio haileti Miundombinu ya Maji coz Ziwa Victoria lipoo
  7. Busan

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Apo umetaja Mji 1 tuu, Morogoro
  8. Busan

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kwani ukitoa Majiji, Mji gani unafua dafu kwa kahama?
  9. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Ameponda Wasukuma nimetetea Wasukuma, angeponda mkoa nngetetea Mkoa
  10. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Ila waliopo Shule ni wengi kuzidi kabila lolote apa Tz
  11. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Wasomi wengi UDOM ni wasukuma, CBE wengi Lake Zone sina uhakika kwa UDSM na Vyuo Vingine
  12. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Nenda UDOM ndo utaelewa nn nasema
  13. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    GGM hawajawah tumia ushuzi wa Tanesco Wale wanazalisha wenyew
  14. Busan

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Kwann nihangaike na Takwimu uchwara ambazo zinafanywa kufrahisha kikundi flani cha watu, umewah fika UDOM? Pale wanafunz wengi ni Wasukuma, nenda CBE
Back
Top Bottom