Recent content by burungutu

  1. B

    Hivi Bob Haisa kapotelea wapi?

    kweli jamaa ni jembe la muziki wa kibongo anauweza nafikiri kuna kitu kitakuwa kinamsumbua,
  2. B

    Makonda afunguka tuhuma za kutoka na Kajala

    kijana ambae hajaoa unapompa madaraka kama hayo unategemea nn? tatizo ni kwa waliomteua.
  3. B

    Hofu ya kutokea vita Burundi yapelekea baadhi ya Warundi kuanza kukimbilia Tanzania

    tatizo warundi wengine kama akina huseni rajabu wapo kwenye foleni wanausubiri huo urais kwakuwa walisaini kupishana yeye anawageuka wenzie.
  4. B

    DC Makonda akataa samani alizokuta kwenye nyumba ya Mkuu wa Wilaya

    dogo naona anakuja juu mno bila kujielewa aiambie serekali kuu au mkuu wa mkoa amletee, mkurugenzi na mkuu wa wilaya mbona wanakasma tofauti vilevile anaweza tumia oc yake.
  5. B

    TANESCO watoa ufafanuzi matatizo ya LUKU!

    Wangese sana mbona kwenye tv na redio sijasikia matanagazo yao, naaaldhabuuku.
  6. B

    Kimenuka ATCL, Mamilioni yatafunwa kutokana na ukodishaji ndege toka AVMAX

    wapigaji wakuu vyeo visivyo na maslahi kwa mtanzania.
  7. B

    Majaji wawili wa mahakama kuu waliotajwa sakata ESCROW waanza kuchunguzwa

    hawa majaji ndio wale mambumbumbuu wote, wameingiziwa hela, alieingiza pesa kwenye akaunti zao ana utata na serikali, wenzao mawaziri wamewajibishwa wao bado wanachunguzwa ili iweje kama walipokea au hawakupokea.
  8. B

    Jukwaa la Katiba: Wagombea Urais wapimwe afya zao kuepusha hasara kwa nchi

    ninafikiri issue sio kupimwa afya tu bali pia ni muhimu kuainisha magonjwa ambayo mgombea hatakiwi kuwa nayo yanayoweza kumzimisha ghafla mfano presha, kisukari na mengine hatarishi.
  9. B

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    nyambafu kachezea akili yetu muda wote huo kukanusha hadi mishipa ya shingo inamsimama huyu nae jela inamwita maana ana makosa lukuki likiwepo kutudanganya kama watoto wake ilihali hata chekechea alijuwa wazi kuwa dili kama hili lisingeweza kumpita. Yaani hivihivi tu uache watu wanagawana pesa...
  10. B

    Msaada Wakuu : Kwa hii HARRIER mpaka inatoka bandarini itagharimu kiasi gani wadau ?

    tatizo tra yetu wanaendekeza njaa sana cif huwa wanazikataa mara oo! umefanya dili na madalali wa japan bei iandikwe ndogo ndio maana wengine wanaona bora wafikishie znz au mombasa
  11. B

    UKAWA umeua CUF na NCCR, unanufaisha CHADEMA

    sio kweli, umbea tu.
  12. B

    Watuhumiwa wawili wa Escrow wafikishwa mahakamani

    huwezi kujisafisha mbele ya mataifa makubwa kwa kushitaki watu wenye vyeo vidogo kwa makosa yaliyofanywa na wakubwa.
  13. B

    Watuhumiwa wawili wa Escrow wafikishwa mahakamani

    yaani hapo ndio joka la kibisa linapotaka kujionyesha kuwa lina meno, vidagaa tu kwani hawa si walishirikishwa tu, wachora madili wakuu na waliobeba sandarus wameachwa mzee hosea vipi makengeza hayaishi au? pia ilishasemekana sio za umma sasa nn?
  14. B

    Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

    anajifunza kazi akipevuka ataacha, sasa anataka atambuliwe kuwa yeye yupo tena mkoa wa kagera.
Back
Top Bottom