Kila mtu ana mtazamo wake,
Mimi nikupige majungu wewe (Matola) kwani ninakula kwako, au nimeajiliwa Simba kama wewe (Matola)?,
Kwa kuwa Simba ni Taasisi ya Watu wengi lazima itasemwa Tu.
Inawezekana nimeandika ujinga kutokana na Fikra zako lakin na Wewe ungeandika welevu wako hapa ili watu waone...