Kuhusu Hepatitis B kuwa positive inategemea na kipimo kipi vinginevo nikuambie tu kuwa hepatitis b kuna vipimo vingi na ili mtu aanzishiwe dawa ni lazima atapima si chini ya vipimo vitatu ama zaidi ndipo daktari afikie uamuzi wa kusema anza dawa .. nakupa home work nisaidia hili huyo ndugu yako...
mh. a smear compaign to fulfill certain goals? may be why inventing this for whom,...do we still have to believe that some one will just kill others simply?
Mpelekeni kwa mtaalamu wa mfumo wa chakula ikiwezekana afanyiwe kipimo cha OGD, ikishindikana daktari wa PUA/KOO/SIKIO atamaliza ....anaweza kuwa na Gastro Esophageal Reflux disease, KUMBUKA ukifika kwa daktari unapaswa umwambie unavosumbuka ama kujiskia hii ni nyenzo muhimu sana dr kufikia...
Hii inawahusu wote. Zingatieni hii
1. Kama huna imani na hospital ama dr flani katika hospital usiende kutibiwa ama usijipeleke kutibiwa na mtaalam usiye muamini
2. Ukifika kwa dr usijifanye unajua kumuamrisha vipimo vya kukupima wewe sio mtaalamu na utajipotezea muda na pesa yako kwa kuwa...
Mi nina tumia android nilashairoot kitambo tokea mwezi wa nne mwaka huu...best inahitaji kuwa expert kidogo KWANZA TAFUTA CORRECT FILES ZA RECOVERY MODE NA LA SUPER USER THEN FINALLY WINDOWS OS NA APPLICATION YA ODIN
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.