Recent content by Bupa2009

  1. B

    Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Ubaguzi wa dhahiri unaonyeshwa na baba mwenye nyumba. Inaonekana pia majukumu ya mbunge hayafahamiki sawa sawa kwa baba mwenye nyumba. SUALA la maendeleo nalo linaonekana ni hisani ya baba mkubwa na siyo jukumu lake kwa mujibu wa katiba. Baba anapaswa kuwaunganisha watz na siyo kuwagawa kwa...
  2. B

    Ulisikia wapi vijijini wanalipia kodi ya majengo?

    Kabisa maana sasa ni kero kwa kweli. Kiwanja kilipiwe kodi, nyumba yenyewe ilipiwe kodi duuuh
  3. B

    BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

    Siyo WALIMU tu wapo pia Wathibiti Ubora, Maafisa Ugani, Maafisa Maendeleo ya Jamii. Wote hawa NAMBA WANAISOMA japo kimya kimya 😭😭
  4. B

    Mhh! Maskini! Wanamuomba msamaha kwa kosa lipi?

    Hawajitambui na wana hasira za kutoajiriwa. UKWELI haukosewi. Uzalendo si kufanya kazi halafu usilipe ujira halali.
  5. B

    Rais Dkt. Magufuli: Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana

    Mimi na MEYA wa MOSHI nani analeta SIHASA katika hii HOJA ya Corona? Yeye kawaambia wajumbe wote wavue barakoa kwenye kikao cha BARAZA LA MADIWANI, unadhan nini kitatokea kwa jamii pana ya MOSHI na watanzania wa KAWAIDA????? Kiongozi ni kiigizo cha JAMII, unachofanya wewe kama kiongozi...
  6. B

    Rais Dkt. Magufuli: Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana

    Hakuña mtanzania anayehitaji watanzania wawe Lockdown, wanachotaka ni mkuu kujitokeza na kuuhabarisha umma juu ya uwepo wa huu ugonjwa na kuwataka watz wachukue tahadhari. Pia watu wapimwe na taarifa za ugonjwa huu zisiwe siri. Information is power man
  7. B

    Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

    Sisi tunaihitaji dunia kuliko dunia inavyotuhitaji sisi 🤣🤣
  8. B

    Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

    Wanasiasa wapewe fursa na haki yao ya kufanya shughuli zao za kisiasa ndipo haya mambo YATAISHA
  9. B

    Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Hatariiiiiii, halafu WATAWALA wapo kimyaaa na wanatoa MAELEZO mepesi kabisa
  10. B

    Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Yaaani ni maajabu KWELI KWELI, ni wajinga tu watawadanganya. Eeenh na SARUJI alikwishatoa MAELEZO? Inaumiza saaana, mara kadhaa wanasiasa wadanganyifu wamekuwa chanzo cha mateso kwa wananchi Angalia bei ya sukari, kabla ya mwaka 2015 au awamu ya 4, sukari ilikuwa kg1@sh 1800.00, wakaja wengine...
  11. B

    Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

    Naa mbaya zaidi inakuwa publicized, hadi vyombo vya habari karibia vyote nchini vimeandika kuhusu msaada huo 🤔🤔🤔
Back
Top Bottom