Recent content by Bunsen Burner

  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

    Kule, naona hao ' usomi' haujaleta tija kabisa!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tarura Meru hata Rais Samia hawamuogopi!. Je, hata kamati ya ulinzi na usalama je?

    Yaani hata huyo jamaa wa Tarura ambaye nafikiri ndio anapasha kuwa msimamizi wa kazi analalamika ,sasa sijui aliruhusuje mkandarasi kufanya surfacing wakati weather' was not conducive na pia bleeding!!..... hivyo hata yeye na mkandarasi, wote kwa pamoja hawawezi kukwepa lawama za hasara...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Btw hapo naona panaonekana ni maporini na sio mjini ndo maana alikuwa Kasi....??.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya CCM ya Kuombea Viongozi misamaha yalemewa na Orodha ya waomba huduma

    H Uyo binti wa mwandishi mkongwe ISSA Michuzi hivi watamweza kweli??...... hahahaha.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani wa Tulia Ackson ni dhahiri hakuna chakushangilia?

    Ndugu yangu, kwa Tz kushabikia vitu ambavyo, mwisho wa siku, visivyo leta faida halisi ya kiuchumi kwa taifa( something which doesn't bring food on the country's table), ndo mambo ya kawaida na unakuta eti vinapewa vipaumbele, kwa ushabiki mwanana kama ule wa SimbaVs Yanga........ aiseee safari...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani wa Tulia Ackson ni dhahiri hakuna chakushangilia?

    Nafikiri hiki cheo wala hakina tija yoyote Kwa nchi husika Bali ni vyeo vya kudanganyana, kuvishwa vilemba vya ukoka, na zaidi faida binafsi kwa aliyechaguliwa... nothing much for the country...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

    LAkitoka Makonda labda substitute'itakuwa zamu ya Sabaya.... time will tell.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji mradi wa ziwa Victoria litatuliwa lini?

    Kweli ndugu yangu, aiseee watu wanateseka na wanachotaka ni maji, na sio sijui ' Hafla' ya kutia Saini Kwa mbembwe nk..na unakuta kwenye hiyo bado wanatumia pesa nyingi'!!...Jamani watu wanataka action' zaidi sio mbwembwe walizozoea miaka nenda rudi.....
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Zambia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

    Nafikiri, labda imebidi tena aende na timu yake nzito kama ile ya India, na hivyo Presidential jet isingetosha......
  10. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Hahahaha..namwona pale uwanjani kama Sabaya, Yuko anapasha mwili viungo, naye aweze kuingia........kaazi kwelikweli.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

    Ndugu yangu, ndo uone kaliba ya watu tulio nao Tz...... Tena umati wote ukapiga vigelegele... sasa hapo, utegemee Kwa watu hao upate maendeleo??
  12. B

    JamiiForums Tanzania Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Hao 'nshomile' siku hizi choka tu, hata sie wa Njombe na Simiyu tumewazidi mbali....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mkoa wa Singida una Mahusiano ya karibu na Zanzibar na Oman, Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba!

    Prof...basi anatuambia kuwa yeye inawezekana atakuwa na uraia pacha' wa Dodoma, Kilosa,Singida na na Sasa Oman.....Tz aiseee ni raha na viroja huwa haviishi., ........
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rasi Samia: Kuanzia Sasa anayevurunda kazini akae Pembeni

    Jamani Mh Rais ' safari hii 'anawaomba' mkae pembeni'.. mliovurunda tofauti na wale wa ubadhirifu wa bei ya ndege, walioombwa' wajiuzulu'..ingawa hadi leo, nafikiri bado hatujaona yeyote aliyejiuzulu.....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliona mbali kukimbilia misaada Uarabuni sababu Wazungu wameshavurugwa misaada yao itakuwa migumu!

    Ndugu yangu,aisee ni kazi kwelikweli, manake hata wafadhili wengi wanaotupa misaada siku zote zitokanazo na kodi za wananchi wao, wameanza kuchoka kutokana na kuona nchi wanaopewa misaada kudai ni nchi maskini, kuishia kuwa na unnecessary, and luxurious government expenditures, kama...
Back
Top Bottom