Habari,
Kwa wiki kadhaa sasa wimbo kuhusu maandamano umekuwa unaimbwa na watu mbalimbali, kadhalika kukemewa na viongozi wa vyombo vya usalama.
Swali langu dogo ni hili; Je, ni wapi katika katiba maandamano yanakatazwa kwa wale wanaoyakemea, na ni wapi kwenye katiba maandamano yanaruhusiwa kwa...
Kumbe ndiyo maana unajiita Domokaya, unaongeaongea tu yasiyofaa. Na inaonesha wewe si mfanyakazi, ungekuwa mfanyakazi nadhani usingeongea kama ulivyoongea. Kaa pembeni ili mjadala ujadiliwe na wanaojua nini kimo ndani yake, wewe huwezi kuwa na mchango positive kwa hili.
Nashindwa hata kuandika baada ya kusoma yaliyomo kwenye muswada huo. Kifupi ni maumivu, enyi TUCTA, enyi wabunge, tusaidieni hiki kinachokwenda kufanyika kwa kweli ni kutiana umasikini.
=========
Serikali imewasilisha Mus-wada wa Sheria ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma 2017 ambao...
Asante Belo. Ni moja ya ushauri ambao pia nimepata toka kwa baadhi ya watu kwamba niende kupeleka malalamiko yangu huko SSRA, yasiponiridhisha ndipo niende mahakamani. Asante tena.
64Gb.......ingekuwa kwamba waliofukuzwa na waliopunguzwa hawapewi, mimi nisingehangaika; ningejua ni suala la wote. Ila kilichonisukuma hasa baada ya kupata shauri wa kwenda kortini ni ule ubaguzi. Kwamba wanaopunguzwa wanapewa halafu waliofukuzwa akina mimi hatupewi. Hiyo ndiyo complaint yangu...
Dragon, asante sana kwa majibu mazuri. Inawezekana sijaeleza kila kitu kutokana na hali niliyo nayo hivi sasa, hivyo ili nieleze kila kitu, kuna mazingira mtu anayetaka kujua zaidi toka kwangu, itamlazimu kuniuliza zaidi. Dragon, mimi sikuwa mwajira wa shirika la umma. Mimi nilikuwa mfanyakazi...
Habari wana jamvi...!!
Nina tatizo na ningeomba nipate ushauri wenu ikibidi muongozo wa namna gani nifanye ili kupata ufumbuzi na haki zangu. Ni hivi, miezi sita sasa nimepoteza ajira kwa kufukuzwa na mwajiri wangu. Baada ya kupoteza ajira, nilienda ofisi za watu wa ppf kufuatilia mafao yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.