Recent content by bung'a

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika notice kwa wapangaji

    ila yeye anataka kufahamu namna notice inavyoandikwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ya uchawi unavyofanyika katika viungo vya uzazi someni

    Haya mambo kweli yapo na hakuna dawa Kali yenye uwezo Wa kupambana na uchawi isiyochanganywa na kiungo..na kiungo sii lazima kipatikane kwa MTU aliye hai.hapana hata kwa maiti kama Kule mochuar watu wanaenda kununua..kiukweli dunia hii INA siri kubwa sana ikiwekwa wazi kila MTU ataogopa
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu uundaji na ubunifu wa vifaa vya kielectronics

    Kiukweli mwangili upo juu kwa sababu umeamua kuwa mbunifu hata mimi mwanzo wakati najifunza nilofokiri niwe mtu wa kurepeir lakini nilifikiri nikaona niwe.mtuu wa kuunda.. Vifaa..nikaanza kujifunza vitu muhimu..mpaka sada naweza kuunda vitu kadhaa..lakini kiukwwli kubuni mwenyewe siwezi...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze practical electronics Comparators(viling anishi)- part I

    safi sana mwangili..nimejifunza kitu hapo
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho la wezi wanao iba baada ya kupulizia dawa ya usingizi!

    kitabu kimapatikana wapi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    rakems tafadhali. nilipoteza cim Mbaya zaid. aliyeokota. naona anaitumia. hebu. niondoe alafu uniunge kwa no hiyo hapo juu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    niadd. ticha nilipoteza simu. 0787194602
  8. B

    JamiiForums Tanzania Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

    mkuu rakim utamkaji wake kwa urahisi hiv itakuwa sahihi kwa lugha nyepesi?....hebu pitia tunaanza hivi. iski,besi,eti,kieri,meki,loti,swari.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

    mkuuu rakim hata kama mkuu pasco. Mimi bwana sasa nimerudi kijijini lango ni kuja kutambika kidogo.. Lakinai nikiwa huku kijijini nimeota nipo chooni,si unajua choo cha bush tundu la choo hapohapo na hilo ndio septic tank...... lakini gafla sijui kilichotokea nikajikuta shimo la choo lipo wazi...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanesco mtatuuwa na umeme

    Daah poleni sana tanesco hawana maana siku hiz na tatizo wanafanyia kazai mazoea na sii kufuata vipimo vinasemaje::
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania anaefahamu kuhusu sola panel iliyotengenezwa kwa mkaa.

    Leo kwenye kipindi cha teknoleo kinachorushwa na tbc walikuwa na jamaa waliotengeneza sola panel kwa kutumia mkaa na inafanya kazi. kama kuna anaefahamu kuhusu hilo tusaidiane hapa.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada,transiformer za redio na sub woofers.

    sasa katika hizo tuns 300 za cecondary primary unakuwa umeweka tuns ngapi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yule anayetafsiri movie za kizungu kwa sauti ya Kiswahili anapotosha

    Kiukweli dj mark ni mwisho wa matatizo.. Kile ni kipaji..na kipaji kile hakifai kuiga..unaebisha hebu na wewe jaribu..
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Wewe hujajua heshima ya mtu kuwa kwake kwa sisi wachaga heshima nyumba..bwana.. Mimi huku pori nimeangusha kitu.. Na pale kijijini naenda kuweka jengo..hiyo ndio heshima..na usiseme ml14 mtu atajenga nyumba ya aina gani..kumbuka mitindo ya ujenzi ipo mingi..
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mimi mwenyewe nimefanya setting ya dish jana.. N.nikapata signal kubwa tuu nikablindi scan lakini hazishiki
Back
Top Bottom