Recent content by Bundala Nyawa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tukimchukia Dudubaya, tuwe na uthubutu pia wa kumchukia Cyprian Musiba

    Kweli wewe Ushuzi kama jina lako inatosha
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vijana msihadaike na hizi ajira za walimu zilizotolewa hata mkipata hakikisheni 2020 Magufuli hamumpi Kura kawatesa sana

    Vijana msidanganywe na huyu mjinga , mkipata kazi mnajeng a CV zenu na hivyo kujiendeleza kimaisha na baada ya hapo siku hizi nchi mbalimbali zinahitaji waalimu toka Tanzania , wanahitajika walimu wa Kiswahili sehemu mbalimbali duniani. Huyu mleta mada ni wa kumpuuza .
  3. B

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzako lazima mjue ununuzi wa ndege Tanzania sio anasa bali ni mkakati wa kiuchumi

    Nadhani maendeleo mnayotaka nyie ni kuandamana kila siku na kufanya mikutano ya kisiasa kila siku . Kazi za kujenga nchi zisipewe nafasi maajabu ya upinzani haya.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli must go: Salamu za mwaka mpya

    Mimi nalima napata sitegemei serikali maana akili ni nywele na kila mtu ana zake , labda wewe ndio jinga unayepotosha watu , ni nchi gani inayoshauri wananchi wake wawe wavivu na ikipata maendeleo , yaani wewe ni wa ajabu kabisa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli must go: Salamu za mwaka mpya

    Hama nchi ndgu yangu wewe unaonekana ni mvivu wa kufanya kazi na umezoea vya kuletewa endelea wabunifu na wachapa kazi wanaona kawaida.
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kilio cha demokrasia mazingaombwe

    Kwao kuongelewa mazuzi na kusifia na kuipaka serikali kwa maneno machafu na uzushi ndio sifa kuu ya CHADEMA.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    Hakuna anayekuamini wala kukusikiliza wewe uza vitabu vyako vya ujasusi maana wewe pia ni ndumila kuwili na msakatonge tu. Usijifanye mfia chama wakati unafahamika .
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli utuweke huru: Hawa walihamia CCM baada ya kupigiwa simu na Rais Magufuli

    Muongo mkubwa wewe lete uthibitisho
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo nayoyajua kwa muda wa miaka miwili kuhusu Rais Dr Magufuli

    Hospitali na Zahanati nchi nzima Miradi ya Maji nchi nzima Kuongeza fedha za Mkopo kwa Elimu ya juu Kuogeza fedha za kununulia Dawa MSD Kuhamia Makao Makuu Dodoma Ujenzi wa mabarabara nchi nzima Madawati nchi nzima Kukarabati shule za zamani nchi nzima Ujenzi wa kiwanja cha Kisasa Dodoma Gesi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania UTHIBITISHO: Bwana Mkubwa anajua kabisa, Vijana hatumpendi na anatusulubu kwelikweli

    Fanya kazi kijana acha uvivu nani kasema hayo,hata Mungu hawezi kukubariki kwa uongo wako wa kutunga sie tunampenda sana Rais wetu anatujali sana , tumia akili na maarifa kupambana na maisha hakuna anayeweza kuzuia riziki
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    Kwani Rais wa China au Urussi wanaongea Kiingereza? acheni ujinga
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunawaua watoto tuliowazaa wenyewe

    Huu ni uzushi angalia hapa Elia F Michael. Diwani Gwarama. Mbunge nje ya Bunge. Mwenyekiti wa madiwani Kanda ya Magharibi. 04/October/ 2018. Nzega-Tanzani Sasa huyu ni Diwani wa wapi anayependa uzushi wa kijinga namna hii , unaleta vipicha vya zamani kuja kuichafua serikali ,jamani tubadilike...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dk Bana: Kuna tatizo ndani ya CHADEMA. Kama hawawezi kujifanyia tathimini, mimi niko tayari

    Penye ukweli uongo hujitenga tunasubiri tuone kejeli na dharau zenu , kila mnaposhauriwa mnaona mnaonewa .
  14. B

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Kuna mtu ana nia ovu, tuzinduke kabla ya giza kuu

    Tueleze kafanyaje na nini kifanyike ili kukabili badala ya kuleta historia za kutunga tunga hapa jamvini. Na sidhani unayoyaaandika yana ukweli wowote zaidi ya kupotosha umma uichukie serikali iliyopo madarakani, kama wabunge wameamua kwa akili zao nani watu wazima na akili zao timamu .
Back
Top Bottom