Recent content by bunazi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuning'iniza funguo za gari kiunoni

    Nafuu hao wanaoning'iniza funguo na magari wameacha home kuna wengine wanafunguo za gari kumbe hata hiyo gari yenyewe hana Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Asante sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Hapana boss si hivyo mshana jr ni mkongwe hapa na nyuzi zake naona zinapitiwa na wadau wengi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Sio Kwamba sijaenda nimeishaenda boss
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    bunazi, Mshana Jr
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    cc Mshana Jr
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Daktari amesema nitumie ndege hivyo sina namna
  12. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Nimesikia pale mjini panaitwa ambassador kuna sehemu wanatoa ndo sababu nimeuliza kama kuna mtu huenda anapafahamu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Ubalozini wanafungua jumatatu na mm hiyo siku ndo naondoka niko njia panda boss
  14. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Tutapishana nao njiani labda sababu jumatatu nataka nirudi home(Tanzania)
  15. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Jamani wana jf niko nairobi kenya nilikuja kimatibabu sasa passport yangu ya muda imeisha na sifahamu nianzie wapi ubalozini penyewe nimegoole nimeona mtaa ulipo ila sipafahamu na Weekend hawafanyi kazi swali langu sasa wadau ni kwamba tofauti na ubalozini sehemu gani nyingine naweza kuongezewa...
Back
Top Bottom