Recent content by bulungutulahela

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka wa 10 sijawahi kuona A ya Geography Advance nashangaa wanaosema Geog ni rahisi kuliko Physics

    Mkiambiwa Science ni rahisi mnakataa wakati mlikimbia wenyewe baada ya kuona science eti ni ngumu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bashe aungana na Zitto juu ya mdororo na taarifa ya hali mbaya ya nchi. Uchumi unakuwa kwa 5.9% mabenki hoi

    Wape vidonge vyao, lazima wajifunze kusikia hata yale ambayo hawayapendi wakati ni ya kweli.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Peter Serukamba: BOT na Wizara ya Fedha wanawasilisha reporti za kukopi hazina uhalisia

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Saaafi saana . Achana na hao wengine wasifie tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je kuna maprofesa na madokta (PhD) jeshini??

    Yeah, huyu namjua na alinifundisha.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna maajabu gani kwenye video za Nassari?

    QMMY, hujui ulite ndalo na
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Martin Elia Mkisi mbona anapanda vyeo haraka

    Duh!! Mkisi huyo! Yuko poa saana huyu aisee, mwaka 2002 alinifundisha mwaka wa kwanza UCLAS (now Aridhi University) course moja as a part tme lecturer kipindi hicho yuko nadhani Mwalimu mkuu au Mwalimu mkuu msaidizi Jitegemee. Course hiyo ilikuwa DS (Development Studies). Hii course inasomwa na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wandugu yule mtoto wa miaka 5 Nice anayefundisha Form1, wamtunuku tu vyeti mpaka vya Shahada

    This is the Next Albert Einstein from TZ
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

    POVU LILITOKA WAPI SASA HILO!?
Back
Top Bottom