Recent content by bulumya londo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kaa chonjo

    sumaye wewe hamuna kitu wandangenye wehu. kwaza nilionga hamuna mfano. halijiamini nalinachokifanya.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli

    Kweli CHADEMA mlikuwa mmeshupaa kabisa kuwa selikali ya awamu ya tano hii tunayo ianza kesho tusiwe na huduma ya wahudumu kama akina Magufuli? Kweli ukawa na CHADEMA divyo mulivyokuwa mumezamiria kuwa watanzania tumupoteze magufuli kwenye selikari yakesho eti tu, kumutunzia heshima Lowassa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu. Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Achana na hizo fikira zembe. nape hawezi kukaa na mtu kama mbowe. ongea jingine
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    hakikakaaaa. ulikuwa unataka niandike hivyo?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    unataka kiswahili?wewe omba ushauri ili chama kisipukutike achana na mambo ya kiswahili. chama kwanza kiswahili.2017
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    unataka kiswahili?wewe omba ushauri ili chama kisipukutike achana na mambo ya kiswahili. chama kwanza kiswahili.2016.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    wanachadema munatakiwa mujibu hili swali kama mutajibu hapo dipo mutakapo elewa kwamba huu uchagunzi uliofanyika tarehe ishirinitano muliibiwa au mumeshindwa tu kwasababu ya ulofa wenu.kwanza watanzania waliamua kua wawafundisheni kuwa wanaelewa kuliko munavyo wafikrria nyie eti hawajui.hebu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM tunaitamani sana Moshi

    chadema isitake kuudaganya umma. ukweli ni kwamba wananchi hatuiwataki kwakutuona sisi watanzania ni watu ambao hatujitambui
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    ndungu nataka kukufahamisha kuwa hata ikitokea kwamba uchaguzi ukafutwa nakuludiwa Leo huyu luowasa wako hats hiyo asilmia38 aliyoipata inaweza pungua.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: UKAWA imeinyanyua CUF

    he vipi nccr mageuzi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

    haiwezakani mtu utoke kisesa mpaka mwanza mjini huku ukiacha shughuli zako maalumu nakufuata kitu ambacho hakimo kwenye mawanzo wala utashi wako eti tu umebebwa na Lori bule.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    kwamutaji huo ukawq kwajkweli hamuha tens nyimbo na ikizikatiwa kuwa pia jipu lilokuwa linawapaisha munalo huko linasubiri kupsuka baada ya huku kwetu kupifwa mamitishamba nakuhamia ukawa nakuaza kuvimba upya hapo lazima mtachemusha tu kwasababu kuja kukomaa kabisa nakupasuka ukawa mutakuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli aiteka Kibaigwa

    hapo mamamkwe ndiyo uelewe kuwa ushindi kwa ccm niwakufikia tu. angaria hiyo kijani no mtaji tosha ya hiyo kijani ikimwagika ile tarehe25 tayari kamba zitakuwa zimeshawaingia kwahilo tu mamamkwe usihofu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    wewe mke wa mtu nataka kukujulisha kuwa ccm na magufuli wapo wanazunguka nchi nzima kwalengo moja tu kuwaomba watanzania wakipingie kura chama cha mapindunzi pamoja na bwana magufuli .ile tarehe 25/10/015 ili waedelee na mikakati yakujenga Tanzania mpya siyo vyiroja nakushangiria upumbavu.
Back
Top Bottom