Hayo mabom unayosema ya Pakistan na India ni ya masafa mafupi km kilometres 250, hivyo hayamdhuru mmarekani kwani lengo la mabomu hayo ni wao kwa wao Pakistan na India kisha mbili ana.
Wewe unayewauliza wana wa Arusha wanataka nini we ni nani mpk uulize swali km hilo. Haujui hata unachoongea unadhani hapa ni sehemu ya porojo? Umbea km huu umetumwa na nani?
Mwankijiji , hebu toa matokeo ya Urais km yule yuda msaliti ( slaa) ANGEGOMBEA kupitia CDM, angepata % ngapi ya kura? Je, huyo yuda angekuwa rais wa nchi hii? Je, unadhani huyo slaa angeshindwa urais akahisi ameibiwa kura hali ya nchi kwa sasa ingekuwa ktk hali ipi? Ninavyomfahamu huyo...
Mwanakijiji unadhani hicho unachoongea kinatoka mioyoni au kipo nje ya fikra zako, umekuwa ukiandika humu ndani chunga sana kauli zako usjje ukaonekana km abunuasi. Huyo slaa ni nani mpaka ayumbishe chadema?
Unamsema Lema wakati huyo Lema atakuwa huko rock city kuwajengea watu ujasiri. Huyo Mkuu wa mkoa wa mwanza anamjua sana Lema tena akisikia tu Lema atakuwepo huko siku hiyo atakubali yaishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.