Mtoa mada anataka mwenye ushahid kuhusu uhusika wa Msuya katika kifo cha Sokoine auweke mezani, gafla siasa zinashika hatamu, tafadhali tubaki kwenye uzi, mwenye taarifa ilionyooka atujuze.. Kwa mnaodhani mtoa mada katumwa basi hunabudi kuanzisha uzi mwengine tuchangie..kwa sasa naomba watu...