Sina muda wa kukujibu wewe chawa mzee ni bora nikupuuze tu!! Huyo shangazi yenu hajui hata exchange rate ya EURO na U.S. Dollar!!! Hiyo mikataba anayokwenda kusign nadhani huwa hajui anasign nini hivyo kwa hiki kipindi chake wajomba zake waarabu wametuibia sana na sasa Mungu kawalaani wanapigwa...
Na huyu Tibaijuka alipokuwa anaitwa Kajumulo alikuwa na mzigo wa nguvu ambao kwasababu ya umri umefifia!!! Muulizeni Jakaya Kikwete alikuwa nae JKT operation TUMAINI!!!
Huyu shangazi hana uzalendo hata nusu moja na kweli kama angekuwa anaipenda nchi hii zaidi kuliko anavyopenda UARABUNI angewapenda na watanganyika pia!! Lakini sivyo hivyo uelewa wake wa kuwa mzalendo ni kupenda nchi na kuiba maliasili zake lakini kuwaua wananchi wake!!
Samia anajua kuwa hana...
Huyu ndio aliyesababisha JIWE kwenda mkukoromea Ndullu point blank kuwa kulikuwa na ufisadi unatendeka pale na ndio kikawa kisa cha Ndullu kutoendelea na contract!!!
Hawa ndio washikaji wa Jakaya Kikwete; mmesahau kuwa alikuwa analipwa mshahara na BOT ili hali hafanyi kazi kule mpaka alipokuja furumishwa na Magufuli? Halafu akaja kupewa ubunge wa mchongo na sasa baada ya hapo mkwere Rais kivuli wa bongo ndio kamtafutia nafasi hiyo!!!!
Hizo pesa walizotumia kwenye hiyo tume pamoja na zile zilizoibwa na mashirika ya umma zingeweza tosha kutumika kama subsidy ya mafuta ya petrol wakati huu ; ikiwa njia ya kuwapunguzia wanannchi machungu ya maisha!!!
Usichanganye suala la Angella Kizigha na marehemu Lowassa!! Lowassa alikatwa kuwa mgombea urais toka ccm kwa sababu ambazo wao waliomfahamu walisema alikuwa mchafu!! Sasa kama watu waliomlea na kumkuza walisema alikuwa mchafu kimaadili ni nani zaidi wa kubishana na hukumu yao?
Kwa juu juu tu ...
Kangi Lugora hana credibility yeyote na ndio maana alitolewa uwaziri!! He ws compromised by the mtandao criminals who were behind the police Uniforms scam pamoja na contract ya drones za Zimamoto zilizomponza Kangi Lugora mpaka akafukuzwa uwaziri!!
Kumbukeni kuwa hayati magufuli alilielezea...
Nimekua nikitafakari kwa kina sababu iliyofanya hata wawili hawa waliokuwa marafiki ghafla wamekuja kuwa maadui wakubwa! Kumbukeni kuwa Tulia akiwa spika wa bunge ndio alikuwa kinara wa kutetea na kupitisha mipango haramu ya kuhujumu nchi kama vile mikataba ya Dp World na ule wa yule muhindi...
Lukuvi kama alikuwa anawafundisha wabunge wasiwe wezi basi yeye lazıma alikuwa ndio mwizi aliyekubuhu na ndio maana alizijua mbinu hizo!!! Mahotel na apartments alizokuwa anamiliki Dodoma na Dar angezipataje kama sio kutuibia humo serikalini?
Jeshini wamegawanyika na ndio maana hakuna kuaminiana tena kati ya maaskari!! Ishara moja ya wazi ni jinsi Samia anavyojitahidi kuwajaza wazanzibari huko jeshini!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.