Recent content by BULANGULE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya Kupanga Kigamboni

    Ungeweka mawasiliano yake.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi wanandoa kukaripiana mbele ya watu?

    Sio sahihi, kwani ni kudhalilishana tu na haipendezi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

    Mhhhh acha kutudanganya wewe, ukiamua wewe kama Nani uamue.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba na ukubwawa kiwanja utakaohitajika

    hapana mkuu mita 11 ni sawa na futi 35 na mita12 ni sawa futi 39 sasa huo ni mjengo wa maana kabisa au unataka kujenga hekalu kijiji kizima kihamie kwako.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba na ukubwawa kiwanja utakaohitajika

    Huitaji eneo kubwa sana unahitaji eneo lenye ukubwa wa mita 20 kwa 40 ambapo kiwanja hicho ni sawa na medium ambapo ukubwa wa nyumba itachukua kama ukubwa wa mita 11 kwa kwa 12 na eneo hilo litabaki na eneo kubwa tu kwa ajili ya bustani nzuri na sehem kubwa tu kwa ajili ya parking,bembea za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Graduates wa Tanzania tuache kubagua kazi

    Ni kweli kaka kwa maelezo hayo tu inatosha kabisa kuwasaidia vijana wa kitanzania wabadilike na kubadilisha mtazamo wa kimawazo unaweza ukaanza na kazi ya ajabu ajabu lkn ikakutengeneza na kuwa mtu mkubwa baadae kutokana na elimu yako ukapaa kiurahisi tu.
Back
Top Bottom