Vyumba vya Kupanga Kigamboni

Vyumba vya Kupanga Kigamboni

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Chumba na sebule na choo chake vinapangishwa Kigamboni pango ni sh.150,000 kwa miezi 6.
Pia kuna Chumba na sebule na jiko lake 180,000 na Self ya 80,000. Vyote viko Kigamboni, km 3 kutoka ferry, pikipiki sh.1000, Daladala sh. 400 kutoka ferry. Karibu PM
 
sehemu gani ya kigamboni? maana kama ni midizini, pale karibia na polisi, tungi, tuamoyo na maeneo baadhi pana jaa sana maji wakati wa mvua
 
tunakuja ndio tupo zanzibar ferry terminal

haya bwana mi si mkazi wa kudumu wa huko ila napenda kila ijumaa mpaka j2 kukaa huko na familia yangu kubadilisha upepo ndiyo nikapita pita hayo maeneo nikaona maji yananifikia kwenye magoti
 
haya bwana mi si mkazi wa
kudumu wa huko ila napenda kila ijumaa mpaka j2 kukaa huko na familia
yangu kubadilisha upepo ndiyo nikapita pita hayo maeneo nikaona maji
yananifikia kwenye magoti

Hahaha! Kuna kitu ningekwambia mkuu ila ngoja nikuache! Ila wanaokuja wataona wenyewe!
 
Chumba na sebule na choo chake vinapangishwa Kigamboni pango ni sh.150,000 kwa miezi 6.
Pia kuna Chumba na sebule na jiko lake 180,000 na Self ya 80,000. Vyote viko Kigamboni, km 3 kutoka ferry, pikipiki sh.1000, Daladala sh. 400 kutoka ferry. Karibu PM
Nilipobold, hivi kweli kodi ni 150,000 kwa mwezi au kwa miezi 6 kama ulivyoandika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom