Hawa wanaoharibu mzao kwa uonevu ndo waje kukumbuka kufanya hayo unayowashauri. Watu wengi wako madarakani lakini sijuhi kama wanatambua wajibu wao. Wizara ya kilimo, ushirika sijawahi elewa kazi zao kabisa.
Uganda wananunua kahawa za Tanzania kwa magendo lakini kahawa hizo zinafanya vizuri...
Umeharakisha kujibu ungeuliza kwanza. Kesi zipo mahakamani kinachoshangaza nikuona uharaka wa halmashauri kukata mazao wakati kesi bado zinaendelea. Ndo sababu hasa ya kuona kama kuna nia siyo njema
Pamoja na yote lakini kwa sasa ndo inajukumu la kuhakikisha kero za raia wake zinapungua au kuisha kabisa. Kuna watendaji hasa wa huku chini wanatia doa sana serikali ujue kwa masrahi binafsi wakati mwingine.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo mgogoro mkubwa kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka eneo la Bushenya na Halmashauri ya Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera.
Jina “Bushenya” lina historia na maana ya kina.
Kwa lugha ya Kihaya, kushenya humaanisha kuchanja kuni, yaani shughuli ya kukata na...
Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa Kagera—hasa Bukoba na Missenyi—ambapo kumekuwa na mvua za kutosha na mazingira mazuri kwa uzalishaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.