Dr Benson Bana apendekeza kamati ya Prof Kabudi ipitie upya mikataba ya ubinafsishaji kampuni ya sigara ( TCC) na NBC

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Mhadhiri wa chuo kikuu Dsm amefurahishwa na namna Prof Kabudi alivyoshughulikia mkataba wa Airtel na amemuomba Rais Magufuli aipe tume hiyo hiyo kazi ya kupitia upya mikataba ya ubinafsishaji wa Kampuni ya Sigara ( TCC) na Benki ya biashara NBC na ikiwezekana hata mikataba ya ukodishaji ndege iliyokuwa inafanywa na ATCL.

Source TBC habari!
 
Ndugu Zangu Mnatuchelesha Maendeleo
Majizi Hayana Nafasi Awamu Hii Ya Tano
 
Mhadhiri wa chuo kikuu Dsm amefurahishwa na namna Prof Kabudi alivyoshughulikia mkataba wa Airtel na amemuomba Rais Magufuli aipe tume hiyo hiyo kazi ya kupitia upya mikataba ya ubinafsishaji wa Kampuni ya Sigara ( TCC) na Benki ya biashara NBC na ikiwezekana hata mikataba ya ukodishaji ndege iliyokuwa inafanywa na ATCL.

Source TBC habari!
Haya makaburi yakifukuliwa yote vigogo wengi watapotea uso wa dunia
 
Habari za kutoka ikulu hasa kuhusu miradi huwa siziamini. Tulidanganywa WB, acacia etc. Hadi nipate riport upande wa pili ndiyo nitaamini. Tunaweza kuwa tumepewa 9% harafu tumeachwa wazi sehemu zingine. Official report of airtetl to shareholders ndiyo nitaelewa tumepigwa au laaa.
 
Mhadhiri wa chuo kikuu Dsm amefurahishwa na namna Prof Kabudi alivyoshughulikia mkataba wa Airtel na amemuomba Rais Magufuli aipe tume hiyo hiyo kazi ya kupitia upya mikataba ya ubinafsishaji wa Kampuni ya Sigara ( TCC) na Benki ya biashara NBC na ikiwezekana hata mikataba ya ukodishaji ndege iliyokuwa inafanywa na ATCL.

Source TBC habari!
Haya hili litajikomba maka lini! Magu mpe hata ukuu wa wilaya maana ametaabika sana
 
Mbona hatuoni criminal proceedings kwa hao waliouza? Ina maana wameukwepa mkono wa sheria kirahisi hivyo?
Wanaoiba kuku wanachomwa moto, ila waliouza rasilimali lukuki kwa nchi na kusababisha umaskini mkubwa kwa nchi wanachekewa tu kwani wapo CCM.
 
Back
Top Bottom