Recent content by bulajunior

  1. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nde Ndevu huna unategemea nini? vipi ukisimama kwa nyuma upoje? usikasirike ndo tunaangalia tukusaidiaje mkuu
  2. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Achana navyo kwani hadi nawewe uwe rijali tuachie wengine nenda kanisani au msikitini kawe muumini mzuri abudu sana mkuu
  3. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

    👊👊
  4. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

    Umenisanua kinoma mkuu kwa hili
  5. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

    Nimesoma uzi wa jamaa nikamkumbuka demu mmoja alikuja ofisini kwa muda tu nikampokea vizuri kama mgeni siku kama tatu nne ivi nikawa namsave chai na chakula cha mchana basi baada ya hapo nikamkaushia nikawa napiga chai na lunch kama kawaida bila kumjari sasa sijui alidhani endelevu basi kuna...
  6. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Lengo utujuze kuwa mkeo ana gari nawewe unalo lakwako! Kaziii kweli yaani kwa akili yako hiyo unasema kweli hayo?
  7. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Molecular Biology & and Biotechnology

    wewe naomba uingie kwenye lengo langu tafadhari
  8. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Molecular Biology & and Biotechnology

    Naomba mwanafunzi mwaka pili au wa tatu UDSM anaesoma hii course tuwasiliane. Asanteni 🙏🙏
  9. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Muongo wewe shule alianza na umri gani?
  10. bulajunior

    JamiiForums Tanzania PEC Pre & Primary school Kilwa -Masomo.

    Habari za humu wakuu? naomba kujuzwa jamani kama hii shule ipo active na ikiwezekana nipate mawasiliano namba za simu au baruaapepe yao. Asanteni 🙏🙏🙏🙏
  11. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa naye zaidi ya miaka 4 leo kanionyesha kitu kipya

    niko pale nasubiria litokee jambo! eti uogeshwe kwenye beseni na mmetokea kwenye migogoro!
  12. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa naye zaidi ya miaka 4 leo kanionyesha kitu kipya

    Braza andika wosia mapema hatutakuwa nawewe muda si mrefu!
  13. bulajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

    Unaonekana wewe unafikira za kuwa ukiolewa basi wewe ukainjoyi tu mdada wewe ukome kabisa hata huyo kijana unaemtaka tafadhari usimsogelee ushindwe na ulegee. Kama unaona mwenzio Hana kazi ya kueleweka na tiyari kashakupenda wewe huoni utaenda kuwa chachu ya mafanikio yake tena ukiwa mshauri...
Back
Top Bottom