Recent content by Bukuru philipo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sister Feki raia wa Kenya akamatwa Iringa

    Kweli maisha noma mpaka watu wanapretend kuwa watawa,kuna ufalme wa mbingu kwel?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu uombaji wa vyuo vikuu

    Nadhani wameonesha kwamba chuo kimoja usizidishe labda kozi tatu,cha msingi fanya kulingana na maelekezo mkuu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu amuumbua Mbatia, awasilisha mtaala wa elimu nchini

    ni kweli anaweza kuwa amewasilisha hiyo mitaala lakini tunapaswa kujiuliza,je inafuatwa kiukamilifu huko mashuleni?Hata hivyo anafaa kupongezwa kwa kutoa changamoto hiyo katika sekta ya elimu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

    Ki ukeli wachaga ni watafutaji sana na hilo ndilo linawafanya waendelee lakini pia wana umoja.kubwa tujifunze ushirikuano kwao kwani kuna baadhi ya makabila we acha tu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Kweli mahakama ndiyo imefanya haki.Kiongozi wetu na sisi tuendeleze MC4.Mnyonge,mnyongeni ila haki yake mpeni.
Back
Top Bottom