Recent content by Bukinabuza

  1. B

    GE2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

    You are very wrong hujui unacho kisema. Wewe unataka nchi ya kuomba omba. Hujui Magufuli kakausanya mahela kibao yaliyokuwa yanaibiwa kwenye madini. Think before posting
  2. B

    GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Ni hadi pale vyama vya upinzani vitapunguzwa huu utiriri wa vyama ambavyo vingine havina hata ofisi utawafikisha wapi? inatakiwa wapinzani waungane kwanza halafu wamchague mtu ambaye ni serious na anayeheshimika siyo mtu anaye ropoka ropoka. Wajipange tena mwaka 2020. Western countries...
  3. B

    GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Kwani Chadema watakuwa na viti vingapi vya wanawake. Nafikiri Chadema kama chama is finish.
  4. B

    GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chagueni kiongozi mpinga Ruswa na udini na msipofanya hivyo wananchi watamtafuta mtu kutoka nje ya CCM, hivyo mwaka 2015 wakafanya kweli wakamchagua mtu mpinga Rushwa Magufuli na hatimaye yake mmeona. Magufuli mwaka 2015 alipata kura asimilia 58 lakini mwaka...
  5. B

    Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Hivi Binadamu na akili yako unatoka nyumbani kwako kwenda mitaani kufanya fujo
  6. B

    Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    Unajua ulaya yote hata Vatican kwa Papa makanisa yamefungwa huko Saudi Arabia Misikiti imefungwa kwa ajili ya huu ugonjwa hatari sana unaua bila mtu kujua. Watu Ulaya na Amerika wamekufa wengi sana. tuombe Mungu ili wimbi lisifike Africa tutakwisha. Kwa maoni yangu Serikali inabidi ifunge...
  7. B

    Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Je huna uhakika wa kupona?. COVID-19 ni hatari sana lakini kwenye joto vidudu vina kufa haraka. Hivyo Watanzania no panic lakini kula kwa mama nitilie au kula kwa kutumia mikono au kukaa kwenye msongamano ni hatari sana.
  8. B

    Corona Virus - Mmoja tokea Tanzania apatikana na virusi UAE

    Ndugu zangu huu ugonjwa unaua wazee lakini wataalamu wanasema hivi vidudu kwenye joto kali kama la kwetu vinakufa mara moja wazungu wanasema in seconds. Tatizo liko ulaya maana huu ni msimu wa baridi na kwenye baridi hivi virusi vina dumu masaa 48 bila kufa ndio maana mwenye virusi akishika...
  9. B

    Corona Virus - Mmoja tokea Tanzania apatikana na virusi UAE

    eliesikia, asi sentensi yake hii "The new cases include three Italians, two Emiratis, two Sri Lankan, two Brits, two Indians, and one from Germany, one from South Africa, one from Tanzania, and one from Iran. " haimaanishi ni Mtanzania bali ni raia wa UAE aliyetokea Tanzania labda kikazi hivi...
  10. B

    Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

    Nilishawahi kusema hapo zamani kuwa hata siku moja kuwa sio jambo zuri kabisa kusimama juu ya kaburi ya mtu aliyekufa na kucheza ngoma as if wewe siku moja hutakufa nitafurahi siku moja kwenye hii jamii forum watu watakuwa wana heshimu maamuzi ya maharaja na kuhacha kubeza kubeza. This man is...
Back
Top Bottom