Hukumu ya Jamal Malinzi kutolewa leo Kisutu

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Dec 5, 2019 inatarajia kutoa hukumu katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake, hukumu hiyo inatarajia kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya upande wa mashitaka na utetezi kumaliza ushahidi.

1575532211645.png

UPDATE: HUKUMU YA KESI DHIDI YA JAMAL MALINZI YAAHIRISHWA HADI DESEMBA 11, 2019

Kesi hiyo inayosimamiwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Janeth Mtega imeahirishwa baada ya Hakimu kuomba muda wa kupitia jalada la hukumu

Ahirisho hili limetokana na aliyekuwa Hakimu wa kesi hiyo kuhamishwa na Hakimu Mtega kupewa kesi hiyo

Jamal Malinzi na wenzake wanashtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji wa fedha
 
Back
Top Bottom