Recent content by bujogi

  1. B

    Bodi ya mikopo

    Unatuma copy yake iliyo na mhuri wa mwanasheria hiyo ni kwa njia ya posta lakini mtandaoni unajaza tu hiyo avn uliyopata kutoka nacte wao huko wataona matokeo yako moja kwa moja kutoka nacte.
  2. B

    Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

    Nenda ofice za nacte dodoma au Dar utapata kwa haraka hiyo avn
  3. B

    Bachelor of Urban development and environmental management

    Ipo nyingine inaitwa rural development inatolewa chuo gani sijui
  4. B

    Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

    Mkuu siyo kila anayeandika hivo ni mjinga wenginewni asili yao nimeona watu want master kabisa lakini kwenye kuandika hizo herufi ni kimbembe hasa wahaya, waruguru na wengineo
  5. B

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Kuna ilonga morogoro, kuna kilombero na ifakara kote huko ni vyuo vya kilimo
  6. B

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Tabora ,mwanza,morogoro, Mtwara, mbeya, chagua pakwenda mwenyewe
  7. B

    Upadri wa Anglicana wamtoa ki maisha.

    Nimecheka aki ya nani. ..alidhani ni kuingia tu nakuukwaaa u padre
  8. B

    Mimi sio mshirikina lakini ndoto ninazoota mara nyingi hutokea

    Oga chumvi hasa ya mawe kwa siku saba tatizo litaisha
  9. B

    Serikali iingilie kati tamthiliya ya Sultan isitazamwe na watoto, inawaumiza

    Mkuu hapo kwa sema TCRA #basata ulimaanisha nini?
  10. B

    Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

    Hapa umenena mkuu yaani stress cha chuo boom siyo kitu
  11. B

    Tatizo langu na mtandao wa vodacom ni hili hapa!

    Nina mwaka wa tatu sijapata ofa kutoka voda
  12. B

    Ufadhili wa kwenda kujifunza masuala ya kilimo nchini Israel

    Tatizo nida wamekua kikwazo kikubwa hasa mwanza yaani namba tu ili wakupe wanataka 50000 kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom