Recent content by Bujibuji Simba Nyamaume

 1. Bujibuji Simba Nyamaume

  Ukiona Waislamu pia wanalamika, ujue hali siyo kabisa!

  FaizaFoxy wetu ana msemaji wake
 2. Bujibuji Simba Nyamaume

  NAHITAJI MSAHADA NA MAWAZO

  Mahakama ya haki. Hukumu unamchagulia wewe mwenyewe. Ukitaka apigwe stroke ni dakika mbili tu. Kuna jamaa aliazima trekta akalimie mashamba yake huko Rufiji, akachukua trekta Bagamoyo, akapakiza kwenye semi hadi Rufiji, makubaliano ilikuwa baada ya wiki tatu alirudishe, alipangiwa kila wiki...
 3. Bujibuji Simba Nyamaume

  NAHITAJI MSAHADA NA MAWAZO

  Unata msaada mweusi?
 4. Bujibuji Simba Nyamaume

  Naomba ufafanunuzi juu ya kisa cha tajiri na yesu(luka 18:18-27)

  Hawa walikuwa wanataka kumtega, hawakuwa na nia ya dhati
 5. Bujibuji Simba Nyamaume

  Umeshawahi kidate na mwanamke mhaya?? Utajuta

  Maji ni uhai mtu wangu. Kule kuna maji ya Zamzam, huku kuna maji ya uzima a.k.a maji ya upako. Hata ukisema wewe huwa unatumia toilet paper, bila maji ni ngumu kuitengenezwa. Wahaya wana maji
 6. Bujibuji Simba Nyamaume

  Wagonjwa watakiwa kufua mashuka ya hospitali

  Hizo posho wanazojilipa sasa!!!! Ni balaa. Mama yuko busy sana kuzunguka dunia akiwa na msafara mkubwa sana kutafuta hela ambazo zinakuja kupigwa
 7. Bujibuji Simba Nyamaume

  Tanaseco Arusha wamekata umeme jijini Arusha mara baada ya kuona mama ameenda monduli

  Wee ulidhani yule twiga kwenye logo ya TANESCO ana kazi gani? Kazi yake ni kuangaza mbali zaidi akiona tu kuna umeme, anawajulisha mafundi wakate
 8. Bujibuji Simba Nyamaume

  Naomba ufafanunuzi juu ya kisa cha tajiri na yesu(luka 18:18-27)

  Soma vizuri Biblia yako. Mfano wa Msamaria mwema Luka 10 25Baadaye mwanasheria mmoja alisimama, akamwuliza akitaka kumtega, “Mwalimu, nifanye nini ili nipate uhai wa milele?” 26Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?” 27Akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako...
 9. Bujibuji Simba Nyamaume

  Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

  Masoud Kipanya akabidhiwe PhD yake ASAP PhD
 10. Bujibuji Simba Nyamaume

  Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

  Masoud Kipanya akabidhiwe PhD yake ASAP PhD
 11. Bujibuji Simba Nyamaume

  Nachimbwa mikwara mizito na mtoto wa mpenzi wangu

  Je unajua kwamba unaweza kuwa na hela lakini uchumi wako ukawa mbovu?
 12. Bujibuji Simba Nyamaume

  Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

  Huyu jamaa huyu kuna sanaa aliipiga Biafra nikasema huyu ni Zumaridi wa kiume
Top Bottom