Hivi kwa akili yako unadhani viongozi wa Dini na wewe nani ana akili zaidi ya mwingine , Tafadhali sana usiwadharau wamesoma sana huenda zaidi ya hata sie na wanajua mengi sana hata zaidi ya sie .Wanajua na kuona pia . Wanajua uzushi na ukweli tusiwafundishe samahani sana.
Huyu Zito mara nyingi ni mzushi na muongo mkubwa , anajua kutunga au kutengeneza jamabo ili apate umaarufu. Kwa akili ya kawaida mtu unatoka kwenye ukumbi wa Bunge na mara mtu anakuja anakutolea maneno ya vitisho bila sababu wakati yeye hakuwemo humo ndani kweli hivi hivi. Alafu hayo ni maelezo...
Nilivyoelewa mimi iwe kama unafanya biashara ya dhahabu au madini mengine vile kwenye stock market .Nadhani ni wazo zuri , toa wazo hili kwa serikali lina faida sana.
Huyo mtu anadanganya watu wakati Hispania makodi ni kibao na ukijaribu kukwepa au kudanganya utakiona cha mtema kuni. Nenda kajaribu kuwekeza huko uone utakavyopata mlolongo wa makodi mengi na yeye anachotaka akija huku apewe rasilimali zet kama peremende tu bure , hiyo haipo..Unajua wazungu...
Sawa tumekupata kibaraka wa mabeberu na mwandishi wa Gazeti la Economics na magazeti yote yanayoichafua nchi hii kimataifa.Nadhani wewe sio mtanzania nasitoamini kamwe kwa tabia zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.