Recent content by Bugududu Sududu

  1. Bugududu Sududu

    Nauza pikipiki yangu, sinoray cc 180, full document

    Mbona hapo kama ni DSM vp bado ipo?
  2. Bugududu Sududu

    Dunia itasimama na kama haitoshi itarudi kinyumenyume

    Kumbe dunia inagia mbili Foward na reverse
  3. Bugududu Sududu

    Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

    Daktari bingwa miaka 30???🤔 Sidhan
  4. Bugududu Sududu

    Animation movies kali kuwahi kutokea

    Kumbe ni katuni🤔
  5. Bugududu Sududu

    Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Tatizo hamtaki kutoka mjini
  6. Bugududu Sududu

    Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

    Mie niwekee hata 1 milion afu niambie nikutajie wachezaji wa 3 wa yanga au simba hakika hiyo pesa nitakuwa nimeikosa, yaan had najishangaa mbona mie sio mshabiki na siwez kuangalia mpira kabisa
  7. Bugududu Sududu

    Hizi godoro zimetengenezwa na fiber na sio sponchi

    Hii material ina kawaida ya kuwasha
  8. Bugududu Sududu

    Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Wakati mnamsikitikia TGS.C na D kumbukeni kuna wale wa TGS.A na B Hawa nao wasemeje? Sometimes inabidi tuishi kwa kuridhika tu
  9. Bugududu Sududu

    Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Vp sie wa ajira mpya utumishi tutegemee nn? Tupo Dodoma tunachukua barua zetu ili tukalipoti Halmashauri
  10. Bugududu Sududu

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Hatimae la afya nalo limepita,ngoma bado mbichi tuendelee kuwa wavumilivu
  11. Bugududu Sududu

    Ajira ya Dereva Mwanza

    Vp mkuu ushampata dereva?
  12. Bugududu Sududu

    Nafasi za kazi Waja Hospital Geita

    Mtawaita lini watu kuja kwenye interview?
  13. Bugududu Sududu

    Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Pdf ikija mtachanganyikiwa maana baadhi ya matarajio ya watu yataenda mlama (hovyo)
Back
Top Bottom