Recent content by bugembe

  1. B

    DOKEZO Responded RC na RPC Dodoma, Polisi Jamii Kata ya Nala anatunyanyasa sana, tafadhali muondoeni

    Namfahamu huyo anayelalamikiwa Malima. Ni mpuuzi mmoja ambaye hata mimi alishawahi kunikuta napata bia zangu saa 5 Pub akaanza kunihoji eti kwa nini nakunywa Pombe muda wa kazi. Bila kuamuliwa na watu waliokuwa jirani ilikuwa nimng'oe meno. Ni kijamaa kipumbavu kinachoonea sana wananchi...
  2. B

    Msaada: Kibali cha kumiliki silaha

    Niliporudi kutoka masomoni Cheo kikapanda mara dufu ofisini,so nilitumia short cut tu kuipata fasta japo mlolongo wa kuanzia Serikali ya Mtaa,Kata nk niliufanya lakini ka-Cheo kapya kalisaidia mchakato kwenda haraka tofauti na awali
  3. B

    Msaada: Kibali cha kumiliki silaha

    Nililipiaga Bastola Tsh. 2,700,000 pale Tanganyika Arms mwaka 2015 mwanzoni ,process zinakaanza mpaka kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kinondoni kipindi kile DC Alli Happi na RC Makonda mwaka 2016 huo nikahojiwa vizuri tu, ghafla nikatakiwa kwenda kusoma nje kwa miaka 4 PhD duuuh...
  4. B

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Huyo mwanao unamlisha nini ndugu mpaka minyoo idondoke kwenye kaptura??au unamlisha viporo??
  5. B

    Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

    Kasema Magufuli Hostel, na kama ni kweli basi Hotel lazima alienda PICKNIC HOTEL ipo nje ya Kituo cha Daladala cha Mawasiliano maana ndio ina Ghorofa[emoji2]
  6. B

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Mbona umejipa Vyeo vingi hivyo??yaani wewe ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,pia ni Afisa Habari na Msemaji wa Timu,una kiwango gani cha Elimu??una Shahada ya Mass Communications au ni kama Manara tu Vyeti ni mdomo wako??nadhani ungetafuta Msaidizi na sio kujipa Vyeo vyote peke yako
  7. B

    Sarafu yenye tundu katikati ya mwaka 1918

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. B

    Tumaini Kweka asihusishwe na mashitaka kwa Sabaya

    Gari binafsi lakini UNDER COVER Sabaya kabandika namba za UN[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. B

    Tumaini Kweka asihusishwe na mashitaka kwa Sabaya

    Bwana KMBWEMBWE,kwa hiyo kuvamia Hotel ya watu usiku kumtafuta Nandy tena akiwa ameweka gari binafsi namba za UN ni kusimamia Sheria enh!!!kufoji Kitambulisho cha Idara ya Usalama wa Taifa ni kusimamia Sheria na Taratibu enh!!eti akajiita UNDER COVER mwenyewe[emoji1787][emoji38]!!maana mpaka...
  10. B

    Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Luteni Jenerali MATHEW LUKINGULE ndie atakayekuwa CDF mpya,kwanza bado kijana sana kaingia Jeshini mwaka 1995 hivyo damu bado inachemka,huyu Lt.Jenerali Yacob anastaafu mwisho wa mwaka huu
  11. B

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Huwezi kukaa Bar unakunywa Balimi zako mwisho wa siku upate ki-cheti online kutoka Malaysia au India huko au kokote halafu utake tukuheshimu kwamba una Degree,Masters au PhD na utake Taasisi nyeti zikuajiri,ingekuwa ni rahisi hivyo kila mtu angekuwa na Vyeti maana ni suala la kuwa na Intenet tu...
  12. B

    Leo nimeachwa na kublokiwa na mwanaume niliyempenda

    kwa hiyo kwa muda wote wa miaka 4 alikuwa anakukulia Gesti/Lodge??huko ni kutokutumia akili,ukiruhusu Mwanaume mtu mzima awe anakukulia Lodge kila siku ni kwamba anakudharau
  13. B

    Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    Ile safari ya Uingereza aliyotuahidi Mchungaji Gwajima kwetu vijana wa Kawe tunaenda lini Ndugu Juma Juma??maana uliishikia bango sana wakati wa Kampeni kwamba tumchague Gwajima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au imeota mbawa??maana sio kwa kumpigia Kampeni kule daaah[emoji38][emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom