Recent content by BUGE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    Kuna vitu vingine inabidi utumie akili kidogo tu unapata majibu , mfano tuanze kwa kujiuliza unaposikia kuoa unapata wazo gani kichwani mwako, kinachokuja akilini mwako ndio mawazo yako lakini nitoe mfano wa pili jamii ya kimasai na baadhi ya jamii za kiafrika kijana anaweza pewa mke lakini ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO Shida ya umeme Kimara Kilungule

    Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi ikashushwa chini na mafundi wetu kidogo hali ikabadilika, likaja tatizo la umeme kupungua, ikawekwa transfoma...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari wakuu wa TANESCO hasa idara ya ufundi ,hivi hii laini inayopita hapa kimara baruti kushuka chini kwenda hadi kilungule ,hii laini amewashinda kuirekebisha ? Kama mafundi hakuna Tanzania basi mneleta TX kutoka ulaya maana ni miaka sasa kila siku laini hii haiishi matatizo miaka zaidi ya 10...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Habari wadau Mimi leo naomba tujiulize kwa pamoja hivi raia wanateseka kwa usafiri monopoly wa mwendo kasi ni kwa faida ya nani ,magari yaliyopo yanamudu kuchukua abiria wachache kwenye vituo vikubwa kama vile mbezi mwisho na kimara mwisho ,kwingineko mtu unakaa kituoni masaa matatu ,unachoona...
  5. B

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Habari viongozi Nashauri mtafute njia mbadala ya kuwasaidia abiria wa vituo hivi vya katikati kama bucha baruti kona na baruti maana unakuta mtu anakaa kituoni masaa mawili hadi aanamua kutoka kwenda kutafuta njia nyingine na nauli hairudi hili mliangalie Kingine cha kusikitisha magari sasa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Ushauri kwenu wakubwa ,ikiwezekana muwaambie wananchi baadhi ya vituo asubuhi muda fulani hadi muda fulani havitakuwa na huduma ,mmejimilikisha huduma ambayo kuna muda hamuwezi kukidhi mahitaji ya wateja hii sio sawa, inafika hatua mtu anakaa kituoni hadi anaamua kutoka kwenye kituo ili aokoe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Mwanadam hasikii asichoelewa ndio maana wewe unaona ni lifestyle mbaya wao wanaona ni ujanja ,kama vile wachawi wewe utaona ni ujinga kuacha mambo yako ukaanze kuroga watu ila wachawi wao wanaona kwao ni ujanja na wanaenjoi tu, maisha ndivyo yalivyo .
  8. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Mshana jr Upo Sahihi japo ni ngumu kuthibitisha kwasababu sayansi ya kiimani inahitaji jicho la tatu kuthibitisha jambo ambalo ni gumu kwa kuwa hilo jicho la tatu lenyewe huwezi kulithibitisha, lakini kuna ukweli nadhani 70% katika unachosema , mfano ni pale unaposema mke na mume ni mwili mmoja...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni matokeo ya Rais Samia kumpa nguvu CAG na uhuru wa vyombo vya habari

    Uwazi kama huu na hatua kali zikichukuliwa ikawa fundisho tunaweza kupiga walau hatua moja mbele maana tumechezewa vyakutosha Sisi tunahitaji viongozi wasio na huruma wala haya(aibu) na majizi kama haya MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU WABARIKI VIONGOZI WOTE WAADILIFU
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kingetokea nini kama viongozi wa Tanzania wangefuata ushauri wa bwana yule

    Mtu akimponda JPM nazikumbuka speech za professor Lumumba pale udsm
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kingetokea nini kama viongozi wa Tanzania wangefuata ushauri wa bwana yule

    Huo ni ukweli mchungu ambao hata uupinge hakipungui chochote ,vumilia tu kwani sasa tumerudi kwenye zama zile za zamani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    Uwezo Wa mwanafunzi na uwezo Wa chuo wakati mwingine ni vitu tofauti unaweza soma chuo chenye sifa kubwa lakini uwezo wako ukawa Mdogo kuliko aliyesomea chuo cha kawaida tumeshuhudia katika mazingira ya kawaida tu msomi anaishindwa kazi anakuja kuifanya mtu ambae elimu yake ni ya kawaida sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tatizo letu Kwa huku kimara Baruti hadi kilungule kumekuwa na tatizo la low voltage Kwa miaka mingi sana kiasi kwamba wakati mwingine nyakati za jioni utakuta nyumba yako haina Umeme jirani yako unawaka nyumba tatu unawaka nyingine hauwaki ni shida sana kama kweli mnajali wateja wenu tatueni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kusema kweli Tanesco mpo kwasababu hamna mpinzani lakini kungekuwepo na hata kijikampuni kidogo kikatoa huduma nzuri Tanesco ingefutika Mwenye uso Wa dunia yaani mnachukiza kama aanavyochukiza ibilisi
Back
Top Bottom