Kiukwel tuseme ukwel
Mwisho wa CCM umefika. Mwananchi katawaliwa na CCM miaka 50 lakin hana hata maendeleo. Mwananchi anakuwa masikin lakin chama na viongizi wanakuwa matajiri. Sasa chaguo la Mungu linakuja kuikomboa kwa mara ya pili nchi ya Tanzania.
Ndugu zangu wanzania wenzangu hakika nchi hii ni nchi tajiri sana afrika but tunaoneka masikin kwa sababu ya viongozi tulio waamin kuongoza taifa kumbe ni mawakala wa nchi tajir dunian. Sasa ni wakat wetu sote watz kuhakikisha taifa letu tunalindoa mikonon mwa chama cha dhuruma,chama kisicho...
Siku zote Chadema ndo chama makin tz na Afrika kwa ujumla na pia kinachoongozwa na watu makin na wenye mapenz mema na nchi yao na wananchi wake. M4C daima.
Kiu kwel den la taifa linaskitishaaaa sana watanzania tunabebeshwa mzigo ambao hatu ujui. Watu wana kufaa na njaa kumbe tunadaiwa mapesa ambayo hatuyajui hayo mapesa tunadauwa vp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.