ziko wapi hizo picha?Mkutano wa CHADEMA M4C umefana sana musoma mjini,watu wamiminika uwanja wa mkendo.
Nilidhani suala la Zitto litayumbisha chama lkn ndo kwanza inaboreka, tizama picha hzi.
Mkutano wa CHADEMA M4C umefana sana musoma mjini,watu wamiminika uwanja wa mkendo.
Nilidhani suala la Zitto litayumbisha chama lkn ndo kwanza inaboreka, tizama picha hzi.
mkuu weka picha
kabla ujaweka picha nisalimie watu wote waliotoka maeneo ya Kigera,Kamnyonge,mwembeni,Iringo,Nyakato,Buhare,Kamnyonge,Bisumwa wambie muliwooooooooooooooo!!!goooooooooooooo ja ikeyo.......alafu ndo uweke picha sasa
ziko wapi hizo picha?

Rwamlimi, Bweri, Nyamitwebiri, Machinjioni, mjimpwa, Makoko, Nyasho etc.
Umetusahau watu wa Majita road, mwisenge, makoko, bweri, Kwangwa mpaka Kigera Ituma huku na Bisumwa aiseeee
Hata wa bukabwa, masurura, kamgendi, kyagata na ryamisanga katusahau.
huhitaji picha ili uamini kuwa mkutano wa chadema ulifunika, Popote cdm inafunika.