Hapa nafikiri mtoa mada umekurupuka na unaonyesha kuwa na hasira kama vile umeambiwa C.C.M iondoke madarakani leo.Ukweli katika ufahamu wa kawaida tu CHADEMA inakubalika sana maeneo ya vyuoni,pia nina uhakika unaelewa kuwa inakubalika zaidi maeneo ya majiji km MWANZA,ARUSHA,MBEYA,DSM na pia miji...