Recent content by Budeba

  1. B

    Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Mulongo Magesa kwa taarifa alikuwa Best sudent Form six na UDSM. Anauwezo darasani achana naye.
  2. B

    Angalizo kwa Mbowe, Mnyika, Kubenea, Mdee, Tundu Lissu

    Hahaha mimi nasubiri kama siyo viti maalumu watatoka kanda ya Moshi na Arusha tutaona
  3. B

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Mheshimiwa anaanga Taifa kwenda kupumuzika na kuchunga ng'ombe kijijini kwake. Kila la kheri tunakutakia maisha marefu na amani. People ooooooooooooooooz
  4. B

    Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    Chadema wangetambua Mhe.Lowasa yeye anaenda kuchunga ng'ombe sasa wajiandae chama kufa kifo kama cha NCCR-Mageuzi mwaka 1995
  5. B

    Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

    Nadhani Ukawa wameshaona hilo kuwa ushindi wao ni mdogo sana ndo maana wanahamasisha vurugu na chama chenye vurugu hakika hata kwa Mungu hakikubaliki wangeangalia mbinu nyingine. Huo ni ushauri wangu
  6. B

    Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    Nadhani wanaozomea ni wanywa viroba na mtu mwenye akiri yake hawezi kufanya hivyo maana unaenda kupinga kura wewe mwenyewe sasa zomea ya nini kama siyo utoto na udarasa la saba?
  7. B

    News from upstream: Matokeo ya Urais kutangazwa na kubandikwa kila kituo

    Nimefurahishwa sana na maoni yenu lakini tunaomba msigeuke baada ya matokeo kuanza kusema ccm imechakachua.
  8. B

    CCM na sarakasi ya mdahalo, kunani??

    Kwa huu kuna mgombea ni Dr. pia anaweza kueleza sera na vision yake bila tatizo. hivyo, tunaomba mdahalo ufanyike tupime ukawa wa sera na mgombea ambaye anaweza kuelezea vision yake?
  9. B

    Changia UKAWA/Lowassa kwa Tigo Pesa, M Pesa na Airtel Money kwa njia hii

    Ni hatari kupeleka maji kwenye bahari kwa kijiko halafu unasema umeongeza maji. Jamaa ni tajiri sasa sisi maskini tumuongezee tena sasa ni nini wakati sisi tunataka atupatie hela.
  10. B

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Safi sana kama kweli Mdahalo huo ufanyike tupate ukweli maana kama LOWASA amezushiwa tutajua siku ile.
  11. B

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Jamani mimi nauliza hotuba ya Mhe.Lowasa iko wapi ya jana mbona hakutoa au people power ndo hotuba?
  12. B

    Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Mimi nashanga Chadema hawajagundua tatizo. kwanza wote kule hawajaenda shule ni form four au darasa la saba sasa unategemea nini katika kujaza form na kuelewa namna ya kujaza?
  13. B

    Magufuli na ikulu

    Hivi UKAWA wanafanyaje kuweze kuleta ukombozi wanaodai?
  14. B

    CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

    Mimi napita tu lakini ni hatari kama mavi na matapishi yako unaweza kuyarudia kuyala kama akili yako iko sawa. Haiwezekani tunaendelea kushangaa na chama tulichokuwa tunakiamini na leo hii kimekuwa hivyo kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
  15. B

    Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    Ni kweli hata Lowasa akiwa Rais ni CCM siyo upinzani
Back
Top Bottom